BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 4,799
- 9,892
Kama imeshaanza kujitokeza nje wahi mapema medical naona siku hizi kuna tiba via mionzi.Dawa ya goita ya ndani kwamwanaume ni ipi.. goita imeotokana na hormones kuwa nyingi amabayo imesababisha tezi kuwa vijinundunundu vingi
Lakini kuna wakati kujitokeza kwa vijimundu ni dalili ya hormone kufanya kazi kwa ufasaha.
Kula sana vyakula vya madini ya ayodini hasa vya asili.
Fanya chuku/kutoa damu chafu mwilini.
Nkitulia ntafunua makaratasi maana imekuwa muda.