Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,918
- 13,885
pia utumika kwa katu wenye matatizo ya kupungukiwa damu mara kwa mara.FAHAMU KUHUSU FAIDA ZA MTI WA MUINGE AU MUEGEA KATIKA TIBA ZA ASILI
MTI huu una majina mengi wengine huita muegea, muinge mlemela na majina mengine. Mti hutumika sana kukuzia maumbile ila kuna utaalam maalum hutumika ila nitawapa faida kiafya
KWA AFYA KWA UJUMLA
Unatibu Tumbo Kujaa Gesi Kujisaidia Milendalenda Vidonda Vya Tumbo Kunawirisha Mwili Kwa Wale Wenye Afya Mgogoro ukurutu na magonjwa mengine ya ngozi.
Jinsi ya kutumia Kupata faida hizo kwa kutumia mizizi ya mti huo, chukua mizizi au magome yake na uyakaushe kivulini (sio juani), baada ya kukauka, saga magome hayo ili upate unga. Chota unga huo kiasi cha gramu 700 (karibu na robo tatu kilo), changanya na maji kiasi cha lita 6. Mwenye tatizo anatakiwa kunywa mchanganyiko huo kwa kiasi cha robo lita kila siku
Hifadhi kwenye fliji ili isiharibike ukhtaj kutumia waipasha moto kidogo.
kukausha vidonda chukua unga huo hunyunyuziwa katika nguo au kitambaa na kisha nguo au kitambaa hicho hufungwa katika kidonda au jereha na baada ya siku kadhaa jeraha hilo hukauka.
KWA MARADHI YA WATOTO WADOGO
kupata tiba ya nimonia na matatizo ya tumbo ikiwa ni pamoja na minyoo kwa watoto, magome ya mvunge huchukuliwa na kulowekwa kwenye maji kisha mtoto mwenye tatizo la tumbo hunywesha maji hayo. Aidha, unaweza kutumia mizizi kama mbadala wa magome kutibu nimonia.
KWA WANAWAKE KUONDOA MAJI NA KUONGEZA JOTO NA HAMU YA TENDO LA NDOA
tafuta maua ya mti huo, huchemshwa au kukaushwa na kusagwa kisha huchanganywa na maji. Baada ya kupata dawa hiyo, muhusika anaweza kuitumia kwa kunywa kwa kipimo cha robo lita na nyingine kujisafishia sehemu za siri ndani ya ck saba mfululizo
pia mti huu hutumika kukuza maumbile kwa kuchanjia km inavyoelezwa na wengine wengi na pia kwa kupakaa baada ya kuandaliwa kwa kuchukua mti huu na kuchanganywa na miti na mafuta mengine.....
Chukua matunda yake katakata chemsha had yachemke vizuri then subiria ipoe alaf uwe unakunywa