Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
- Thread starter
- #201
Kuna niliowasikia wana shida za maguu hapa,
°Tafuteni saum
°chumvi ya mawe kidogo
°mafuta ya zaituni
CHANGANYENI.
Wakati wa kulala usiku chumvi miguu yenu KWA KUSIGINIA PAKAA NYAYONI KWA WENGI KABISA, UTAKAPO LALA UKIAMKA LETE JIBU UNAKANUSHA AU LAA, ENDELEA KWA SIKU 40

Jiwe Angavu, MAZUNGUMZO BAADA YA KHABARI MUHIMU SANA,tunatumia 2% kwa kukremu tafiti za wengine na kusababisha kutofikirisha akili zetu si vibaya tuka tumia mpaka 5% kujazia mengi tusiyoyajua.Shida huu uzi umeanza kuharibiwa watu wameanza kufundishana uchawi na kuita majini.
Anyway naendelea kujifunza..hasa mimea ya dawa.
#MaendeleoHayanaChama