Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Kwa wale wenye vimbe zenye dalili za kansa, chemsha magunzi safi 7 ya mahindi yale yaliyochomwa,chemsha kwa dk tano, maji yake kunywa asubuhi na jioni kwa wiki mbili.(Lete hapa mrejesho)
 
Kama unasumbuliwa na mapepo au uchawi nyakati za usiku

Chukua mkasi na uweke katika Bible, kwenye zaburi 91 na baada ya kuweka mkasi chukua Bible na uweke chini ya mto alafu lala, utanishukuru baadae
Sidhani.
 
Ni kula na maganda au
 
Mimi ilikuwa nikitaka kuanza meditaton nasoma Psalm 103 1-14 mara 3 hizo verse ziko kichwan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…