Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Uzi mzuri tatizo lipo kwenye lugha mkuu hautafika mbali sababu ya hilo tu
 
Kwa wale wenye matatizo ya kunuka KWAPA na Kikwapa kuvuja jasho, kila unapomaliza kuoga kamulia maji ya Limau Kwapani huku ukiendelea kusugua kwa kipande cha Limau eneo lote la kwapa. Na hata kwenye pachipachi za mapaja baada ya kuoga jikaushe uzuri, kisha sugua kwa kipande cha Limau inasaidia kuondoa unyevunyevu na Uvundo.

1657225028023.png
 
Back
Top Bottom