Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Dawa ya wanaokosa hedhi kabisa au kuvurugika hawa tunawasaidiaje? Km imejibiwa post ya zingine mnitag ila kama bado naomba maarifa wife anapitia hii changamoto
kma hutopta njoo nikupe namba ya dokta anatibu kwa dawa za asili
 
Dawa ya kuondoa gesi

kma ishatajwa naomba ni post namba ngapi
 
[emoji28][emoji28][emoji28]

Nguvu zako ndio zitakuponya, ponda kwa nguvu maana yake[emoji28][emoji28]

Shukrani sana mkuu
 
Wakuu, jongoo ninaemuongelea ni yule mkubwa mweusi mwenye miguu Mingi ya rangi ya chungwa
 
Dawa ya kuondoa gesi

kma ishatajwa naomba ni post namba ngapi
Kuna vijiti fulani wamasai huuza sana huvifunga kama funga la kuni navyo huoshwa na kuliwa maganda yake humaliza tatizo, lakini pia chunguza ni chakula gani hukujaza gesi, au jaribu kupanga ratiba ya kula, kula shagalabagala wakati mwingine hupelekea tumbo kujaa magesi ya ajabu ajabu, kwa sababu tumbo huwa na utaratibu wa kupokea chakula kwa baadhi ya watu, lakini wengine hawapati tatizo hata wachanganye namna gani
 
Nimekupta mkuu
 
Hili hili toto la ndizi zile ndizi zake changa kabisa katika hilo toto ukizitwanga vizuri na kupata juice yake akinywa mwanamke mwenye kutokwa na hedhi bila kukoma itaacha baada ya kunywa juice hiyo

Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Naongezea tu pia majani ya mnanasi yale machanga ya juujuu husaidia kufunga hedhi,inayopitiliza.
 
Atumie kitunguu maji hasubuhi kabla ya kula kitu nusu ya kitunguu kikubwa cha wastani asioshe kwa namna yoyote ale chote kwa kukikata kata au kama kilivyo anaweza kaa nusu saa anaweza kula na usiku akienda kulala afanye hivyo walau kwa wiki tatu mfululizo hadi nne huondoa uvimbe na kurekebisha homoni

Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
 
Poor I. Q, molest his brain, 90% ya madawa ya hospitalini yanatokana na mitishamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…