Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Dawa ya wanaokosa hedhi kabisa au kuvurugika hawa tunawasaidiaje? Km imejibiwa post ya zingine mnitag ila kama bado naomba maarifa wife anapitia hii changamoto
kma hutopta njoo nikupe namba ya dokta anatibu kwa dawa za asili
 
Dawa ya kuondoa gesi

kma ishatajwa naomba ni post namba ngapi
 
Kwa wale wenye vile vinundu mkononi vile ambavyo haviumi, vinatokea tu na vinakuwa siku zinavyozidi kwenda. DAWA

1 jongoo, muue au okota aliekufa, msage awe unga. Uwe unachanja unapaka mara kwa mara.

2 Hii ndo nyepesi na uhakika 100%. Chukua jiwe la ukubwa kiasi. Kila siku (mara nyingi uwezavyo) uwe ubakaponda ponda hako ka nundu kwa kutumia jiwe hilo. Vumilia maumivu na tumia nguvu kiasi.

Note: usidonoe donoe ukinidanganya kuna nguvu za miujiza zitakuponya, NGUVU ZAKO NDO ZINAKAONDOA / ZINAKASAMBARATISHA HAKO KA NUNDU KWA KUTUMIA JIWE.

hiyo zote ni from my own experience sio za kuambiwa
[emoji28][emoji28][emoji28]

Nguvu zako ndio zitakuponya, ponda kwa nguvu maana yake[emoji28][emoji28]

Shukrani sana mkuu
 
Kwa wale wenye vile vinundu mkononi vile ambavyo haviumi, vinatokea tu na vinakuwa siku zinavyozidi kwenda. DAWA

1 jongoo, muue au okota aliekufa, msage awe unga. Uwe unachanja unapaka mara kwa mara.

2 Hii ndo nyepesi na uhakika 100%. Chukua jiwe la ukubwa kiasi. Kila siku (mara nyingi uwezavyo) uwe ubakaponda ponda hako ka nundu kwa kutumia jiwe hilo. Vumilia maumivu na tumia nguvu kiasi.

Note: usidonoe donoe ukinidanganya kuna nguvu za miujiza zitakuponya, NGUVU ZAKO NDO ZINAKAONDOA / ZINAKASAMBARATISHA HAKO KA NUNDU KWA KUTUMIA JIWE.

hiyo zote ni from my own experience sio za kuambiwa
Wakuu, jongoo ninaemuongelea ni yule mkubwa mweusi mwenye miguu Mingi ya rangi ya chungwa
 
Dawa ya kuondoa gesi

kma ishatajwa naomba ni post namba ngapi
Kuna vijiti fulani wamasai huuza sana huvifunga kama funga la kuni navyo huoshwa na kuliwa maganda yake humaliza tatizo, lakini pia chunguza ni chakula gani hukujaza gesi, au jaribu kupanga ratiba ya kula, kula shagalabagala wakati mwingine hupelekea tumbo kujaa magesi ya ajabu ajabu, kwa sababu tumbo huwa na utaratibu wa kupokea chakula kwa baadhi ya watu, lakini wengine hawapati tatizo hata wachanganye namna gani
 
Kuna vijiti fulani wamasai huuza sana huvifunga kama funga la kuni navyo huoshwa na kuliwa maganda yake humaliza tatizo, lakini pia chunguza ni chakula gani huku jana gesi, au jaribu kupanga ratiba ya kula kula shagalabagala wakati mwingine hupelekea tumbo kuja makes ya ajabu ajabu, kwa sababu tumbo huwa na utaratibu wa kujenga wakati wa kupokea chakula.
Nimekupta mkuu
 
Hili hili toto la ndizi zile ndizi zake changa kabisa katika hilo toto ukizitwanga vizuri na kupata juice yake akinywa mwanamke mwenye kutokwa na hedhi bila kukoma itaacha baada ya kunywa juice hiyo

Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Naongezea tu pia majani ya mnanasi yale machanga ya juujuu husaidia kufunga hedhi,inayopitiliza.
 
Mkuu,
hongera kwanza kazi nzuri sana mnayoifanya hapa jukwaani.
wewe na Crocodiletooth a.k.a jino la mamba mmetufanya tufumbuke macho na akili kwa sehemu kubwa sana.

Kwa upande wangu nina mwanamke anatamani sana kunizalia ila ana uvimbe kwenye kizazi huu ni mwaka wa tatu anasumbuka na tatizo

HAJAWAHI KWENDA HOSPITALI (sababu za kiuchumi)

naomba kujua dawa za asili za kumsaidia.

Yuko maeneo ya vijijini sana huko wakuu wangu

katoto kameumbika sana daah shida ndio hio sasa inayosumbua
Atumie kitunguu maji hasubuhi kabla ya kula kitu nusu ya kitunguu kikubwa cha wastani asioshe kwa namna yoyote ale chote kwa kukikata kata au kama kilivyo anaweza kaa nusu saa anaweza kula na usiku akienda kulala afanye hivyo walau kwa wiki tatu mfululizo hadi nne huondoa uvimbe na kurekebisha homoni

Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
 
Sidhani kama ni sahihi sana kwa mtizamo huo Mkuu. Kwani ww hujawahi kutumia dawa za mitishamba maishani mwako? Je, aliyekupa ni mganga wa kienyeji? Mbona wazazi wetu wametulisha sana dawa za mimea-tiba lakini bado hawakuwa waganga wa kienyeji? Kumbuka pia kipindi COVID-19 imepamba moto, kama Taifa tulishauriwa kutumia mitishamba e.g. kivumbasi, mikaratusi, kashwagara etc. Je, Taifa liligeuka kuwa mganga wa kienyeji?
Poor I. Q, molest his brain, 90% ya madawa ya hospitalini yanatokana na mitishamba.
 
Back
Top Bottom