Junior mafia
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 264
- 351
Naisubili hii pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kma hutopta njoo nikupe namba ya dokta anatibu kwa dawa za asiliDawa ya wanaokosa hedhi kabisa au kuvurugika hawa tunawasaidiaje? Km imejibiwa post ya zingine mnitag ila kama bado naomba maarifa wife anapitia hii changamoto
[emoji28][emoji28][emoji28]Kwa wale wenye vile vinundu mkononi vile ambavyo haviumi, vinatokea tu na vinakuwa siku zinavyozidi kwenda. DAWA
1 jongoo, muue au okota aliekufa, msage awe unga. Uwe unachanja unapaka mara kwa mara.
2 Hii ndo nyepesi na uhakika 100%. Chukua jiwe la ukubwa kiasi. Kila siku (mara nyingi uwezavyo) uwe ubakaponda ponda hako ka nundu kwa kutumia jiwe hilo. Vumilia maumivu na tumia nguvu kiasi.
Note: usidonoe donoe ukinidanganya kuna nguvu za miujiza zitakuponya, NGUVU ZAKO NDO ZINAKAONDOA / ZINAKASAMBARATISHA HAKO KA NUNDU KWA KUTUMIA JIWE.
hiyo zote ni from my own experience sio za kuambiwa
Ndulele ni nini?Ndulele pia ni dawa..unaitoboa unaivaa...
tueleze vizuri bsiNdulele pia ni dawa..unaitoboa unaivaa...
[emoji28][emoji28][emoji28]
Nguvu zako ndio zitakuponya, ponda kwa nguvu maana yake[emoji28][emoji28]
Shukrani sana mkuu
Wakuu, jongoo ninaemuongelea ni yule mkubwa mweusi mwenye miguu Mingi ya rangi ya chungwaKwa wale wenye vile vinundu mkononi vile ambavyo haviumi, vinatokea tu na vinakuwa siku zinavyozidi kwenda. DAWA
1 jongoo, muue au okota aliekufa, msage awe unga. Uwe unachanja unapaka mara kwa mara.
2 Hii ndo nyepesi na uhakika 100%. Chukua jiwe la ukubwa kiasi. Kila siku (mara nyingi uwezavyo) uwe ubakaponda ponda hako ka nundu kwa kutumia jiwe hilo. Vumilia maumivu na tumia nguvu kiasi.
Note: usidonoe donoe ukinidanganya kuna nguvu za miujiza zitakuponya, NGUVU ZAKO NDO ZINAKAONDOA / ZINAKASAMBARATISHA HAKO KA NUNDU KWA KUTUMIA JIWE.
hiyo zote ni from my own experience sio za kuambiwa
Weka picha yakeWakuu, jongoo ninaemuongelea ni yule mkubwa mweusi mwenye miguu Mingi ya rangi ya chungwa
Mbona imeshajibiwa hapo kitamboDawa ya wanaokosa hedhi kabisa au kuvurugika hawa tunawasaidiaje? Km imejibiwa post ya zingine mnitag ila kama bado naomba maarifa wife anapitia hii changamoto
Kuna vijiti fulani wamasai huuza sana huvifunga kama funga la kuni navyo huoshwa na kuliwa maganda yake humaliza tatizo, lakini pia chunguza ni chakula gani hukujaza gesi, au jaribu kupanga ratiba ya kula, kula shagalabagala wakati mwingine hupelekea tumbo kujaa magesi ya ajabu ajabu, kwa sababu tumbo huwa na utaratibu wa kupokea chakula kwa baadhi ya watu, lakini wengine hawapati tatizo hata wachanganye namna ganiDawa ya kuondoa gesi
kma ishatajwa naomba ni post namba ngapi
Nimekupta mkuuKuna vijiti fulani wamasai huuza sana huvifunga kama funga la kuni navyo huoshwa na kuliwa maganda yake humaliza tatizo, lakini pia chunguza ni chakula gani huku jana gesi, au jaribu kupanga ratiba ya kula kula shagalabagala wakati mwingine hupelekea tumbo kuja makes ya ajabu ajabu, kwa sababu tumbo huwa na utaratibu wa kujenga wakati wa kupokea chakula.
Weka picha mkuu nasi tuvijueNimekupta mkuu
Dah sijakutana na mmasai kwa siku ya leoWeka picha mkuu nasi tuvijue
Nitag mkuu au post Namba NGp maana jf application inazingua kusearchMbona imeshajibiwa hapo kitambo
Naongezea tu pia majani ya mnanasi yale machanga ya juujuu husaidia kufunga hedhi,inayopitiliza.Hili hili toto la ndizi zile ndizi zake changa kabisa katika hilo toto ukizitwanga vizuri na kupata juice yake akinywa mwanamke mwenye kutokwa na hedhi bila kukoma itaacha baada ya kunywa juice hiyo
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
SawaDah sijakutana na mmasai kwa siku ya leo
sina picha yke ila nikiipta nitaiweka
Jina la mizizi hiyo ni Olmkongoraa. Arusha na Moshi ipo sana ila unatakiwa uwe makini kwani ck hizi wanaichakachua hawa vijana.Sawa
Atumie kitunguu maji hasubuhi kabla ya kula kitu nusu ya kitunguu kikubwa cha wastani asioshe kwa namna yoyote ale chote kwa kukikata kata au kama kilivyo anaweza kaa nusu saa anaweza kula na usiku akienda kulala afanye hivyo walau kwa wiki tatu mfululizo hadi nne huondoa uvimbe na kurekebisha homoniMkuu,
hongera kwanza kazi nzuri sana mnayoifanya hapa jukwaani.
wewe na Crocodiletooth a.k.a jino la mamba mmetufanya tufumbuke macho na akili kwa sehemu kubwa sana.
Kwa upande wangu nina mwanamke anatamani sana kunizalia ila ana uvimbe kwenye kizazi huu ni mwaka wa tatu anasumbuka na tatizo
HAJAWAHI KWENDA HOSPITALI (sababu za kiuchumi)
naomba kujua dawa za asili za kumsaidia.
Yuko maeneo ya vijijini sana huko wakuu wangu
katoto kameumbika sana daah shida ndio hio sasa inayosumbua
Poor I. Q, molest his brain, 90% ya madawa ya hospitalini yanatokana na mitishamba.Sidhani kama ni sahihi sana kwa mtizamo huo Mkuu. Kwani ww hujawahi kutumia dawa za mitishamba maishani mwako? Je, aliyekupa ni mganga wa kienyeji? Mbona wazazi wetu wametulisha sana dawa za mimea-tiba lakini bado hawakuwa waganga wa kienyeji? Kumbuka pia kipindi COVID-19 imepamba moto, kama Taifa tulishauriwa kutumia mitishamba e.g. kivumbasi, mikaratusi, kashwagara etc. Je, Taifa liligeuka kuwa mganga wa kienyeji?