Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Natoa siri kubwa mno, tafuta magome ya mti wa mkangazi kiasi fulani chemsha huyo mwenye fibroid awe anakunywa usiku wakati wa kulala inshaallah liuvimbe litaondoka /sorry to my fellow herbalist for put this openly!
 
Wala usihuzunike bado inaweza kua sababu ya wewe kutafutwa riziki zikaongezeka kwa dawa hiyo hiyo kwa maana nijuavyo si wote tunaweza kuziandaa hivyo bado kesi itarudi kwako utapata kitu
 
Natamani sana kuijua dawa ya kunafanya mtu kichaa!

Natamani sana kuijua dawa ya kuzindika eneo dhidi ya wizi.

Nikiipata nami nitatoa zawadi humu
 
Natoa siri kubwa mno, tafuta magome ya mti wa mkangazi kiasi fulani chemsha huyo mwenye fibroid awe anakunywa usiku wakati wa kulala inshaallah liuvimbe litaondoka /sorry to my fellow herbalist for put this openly!
Mkangazi ndio mti gani? Picha na jina lingine au jina lake la kisayansi
 
Tafuta miiba 3 ya cactus, ichome moto kwa kuikaanga kwenye chungu/sufuria jikoni mpaka iwe nyeusi tiii. Saga upate unga wake na wakuchanje utosini chale 3 tu, upakae huo unga. Hatokuingia sheitwan wa kijini wa asili au wa kutumwa.
Yukoje mkuu kapicha kidogo
 
pia hutumika kwenye maswala ya urembo wa ngozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…