Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Mkuu,
hongera kwanza kazi nzuri sana mnayoifanya hapa jukwaani.
wewe na Crocodiletooth a.k.a jino la mamba mmetufanya tufumbuke macho na akili kwa sehemu kubwa sana.

Kwa upande wangu nina mwanamke anatamani sana kunizalia ila ana uvimbe kwenye kizazi huu ni mwaka wa tatu anasumbuka na tatizo

HAJAWAHI KWENDA HOSPITALI (sababu za kiuchumi)

naomba kujua dawa za asili za kumsaidia.

Yuko maeneo ya vijijini sana huko wakuu wangu

katoto kameumbika sana daah shida ndio hio sasa inayosumbua
Natoa siri kubwa mno, tafuta magome ya mti wa mkangazi kiasi fulani chemsha huyo mwenye fibroid awe anakunywa usiku wakati wa kulala inshaallah liuvimbe litaondoka /sorry to my fellow herbalist for put this openly!
 
Wala usihuzunike bado inaweza kua sababu ya wewe kutafutwa riziki zikaongezeka kwa dawa hiyo hiyo kwa maana nijuavyo si wote tunaweza kuziandaa hivyo bado kesi itarudi kwako utapata kitu
 
Natamani sana kuijua dawa ya kunafanya mtu kichaa!

Natamani sana kuijua dawa ya kuzindika eneo dhidi ya wizi.

Nikiipata nami nitatoa zawadi humu
 
Natoa siri kubwa mno, tafuta magome ya mti wa mkangazi kiasi fulani chemsha huyo mwenye fibroid awe anakunywa usiku wakati wa kulala inshaallah liuvimbe litaondoka /sorry to my fellow herbalist for put this openly!
Mkangazi ndio mti gani? Picha na jina lingine au jina lake la kisayansi
 
Tafuta miiba 3 ya cactus, ichome moto kwa kuikaanga kwenye chungu/sufuria jikoni mpaka iwe nyeusi tiii. Saga upate unga wake na wakuchanje utosini chale 3 tu, upakae huo unga. Hatokuingia sheitwan wa kijini wa asili au wa kutumwa.
Yukoje mkuu kapicha kidogo
 
Manjano au (turmeric) ni kiungo au mzizi wenye property za panadol, au hupooza maumivu ya mwili, tunaweza kutumia kiungo hiki badala ya kunywa panadol, kila mara, ni Bora tukatumia manjano kwa kuchanganya na maziwa, kwani property zake pia huponya kifua kwa asilimia 100%.
°Nchini india watu hunywa mchanganyiko huu mara moja kwa mwaka kama kinga ya magonjwa ya kifua. /Kwa tiba kunywa mara kwa mara.
pia hutumika kwenye maswala ya urembo wa ngozi
 
Back
Top Bottom