OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
True 100% ila kwakuwa yamechujwa na kuwekwa katika mfumo wa vidonge/capsules/solutions, mtu anajisahau yame-originate wapi. Mbaya zaidi wengi wetu tumekuwa brainwashed na kuthamini vitu vya viwandani zaidi.Poor I. Q, molest his brain, 90% ya madawa ya hospitalini yanatokana na mitishamba.