Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Heshima yenu wakuu,Kuna mwanamke tumetofautiana katika mahusiano,shida hataki kuniona,hataki kupokea sim,inshort amekasirika sana,huyu analegezwaje?
 
Ebu Andika haya katika karatasi nyeupe uone kama watabeba,
SATOR
AREPO
TENET
OPERA
ROTAS
KWA wino mweusi tii.

Mkuu

i) hayo maneno nayaandika kwa mtindo huo huo (kushuka chini)??

ii) Na nikishayaandika hiyo karatasi naiweka wapi??

iii) Yanaandikwa siku na muda gani??
 
Mkuu naona wadau wamesema ni mvuje, hebu tumwagie siri zake. Na hiyo ya mdalasini na Fanta kuna maajabu gani huko?
nitamwaga hapa acha tupate jina lake la kibongo, pia kuna maajabu ya soda ya fanta na mdalasini
 
Mkuu

i) hayo maneno nayaandika kwa mtindo huo huo (kushuka chini)??

ii) Na nikishayaandika hiyo karatasi naiweka wapi??

iii) Yanaandikwa siku na muda gani??
Hayana muda wa kuandika, yanazuia nguvu za kiza, na endapo ngombe amelogwa asitoe maziwa kuandika kwenye karatasi akiila tu ataanza toa maziwa
 
Tafuta mafuta ya mzaituni, ponda punje Tatu za swaumu changanya na mafuta hayo.

*wakati wa kulala usiku sema neno, ELOI ALEPH-TAV mara tatu, jipake nyayoni lala, utalala kwa raha sana na baadhi ya magonjwa yatakuondoka utashangaaa rudia kila siku na iwe ni mazoea utafurahi sana.
(Jewish medicine)

N. B, Nitakuja kueleza hapa kwa nini Jews hufanikiwa sana and what they do?
 
Ndulele siufaham mkuu!!

Naongezea. Kama unasafiri kwa njia ya gari au vyovyote as long as unatumia chombo Cha moto tafuta mti wa mhogo kata kipande kidogo tu then uweke mfukoni , siyo kwenye begi Bali MFUKONI na wanashauri uwe mbichi. Utafika salama bila shida yoyote.

Pia kuna kipande Cha mkaa cha kuokota barabarani aise kinafanya kazi balaa. Yaani kiokote weka kwenye biashara yako, nyumban au hata utembee nacho kinaondoa watu wabaya na kuzuia chuma ulete/ bagindu in vernacular language.

Kuhusu bawasiri mzee wangu aliwahi kuniambia pia unachuma ule mkungu wa ndizi / ule mti wake then unaukata kata unaanika juani hadi ukauke then unachoma kutengeneza- unga then unakuwa unaweka mndukuni....yaani unapakaa sehem husika. Hope sijakosea maelezo.
 
Yes nahisi nimefungwa mahala nataka nijikomboe Kila nipato pesa Pepo wa ulevi na kugawa Hawa pesa ovyo ananiandama nikikwama mie hua Sina msaidizi
Umeshazaliwa na roho nzuri kwa wengine huna jinsi, ukioa oa mke mchamungu yeye atakusaidia pia jizingue hata kwa kuogea maji ya bahari yanayoondoka, halafu Subiri mwezi ujae wahi chukua maji wakati bahari imejaa ogea!
 
Matatizo yote ya mwanadamu mfano talaka, vurugu kwenye ndoa, ukosefu wa adabu kwa watoto, watoto awasikii, umasikini, mikosi, nuksi, ngono,ulevi,wizi, hasira,chuki, nk Yote haya utibika. Yote chanzo ni uchafu wa Roho. Wengi wanafasifa nje tu yaani mwili na kuacha roho, roho inapozidiwa na uchafu ni rahisi kushambuliwa na nguvu za giza na kutekwa na yule muovu kutekwa kwa roho kunaitwa kuuza nafsi yako kwa shetani.

Wapo wataalamu wao wamebase kusafisha Roho Ili uwe safi usisumbuliwe na nguvu usizozihitaji. Pana watu Wana elimu na ujuzi wa siri nyingi Sana kuhusu maisha, wanadamu wengi ni wagonjwa watu Wana masumbuko watu wametekwa watu wanapelekeshwa si hiari yao na shetani hawana nguvu hawana maarifa ya kuweza kuwa huru dhidi ya vifungo vya adui muovu, kupitia nguvu ya miti, mimea na madini unaweza jifungua dhidi ya nguvu zote za giza kuanzia uchawi, mizimu, laana, nk.
 
Njia nyepesi ya kumkamata mwizi mwenye machale wale wezi wenye kinga za kichawi yaani ukiwafata kuwakamata wanapata ishara/ machale wanawahi kuondoka kabla, kumbuka mwizi yeyeto ni lazima awe mchawi uongozwa na jini la wizi. Ukienda msiwe na kitu chochote chenye asili ya chuma mwilini mwenu mfano saa, silaha, panga au chochote, vitu vyenye asili ya chuma vinakuwa ditected kwenye hirizi zao hivyo usepa kabla amjafika.

Pia mwizi mwenye ndumba aumii zaidi ya kuzuga pindi alapo kisago, tumia mti wa muhogo au itafuteni hirizi yake muitoe kwanza ndipo mmpe kipigo. Ukimkamata mchawi Ili aumie mpige na fimbo ya mti wa muhogo ndo ataumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…