Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
- Thread starter
-
- #501
Naongezea tu mkuu hata mkiwa na mashaka juu ya kifo cha ndg na jamaa juu kufariki kwake mshikishe marehemu fimbo ya muhogo endapo kama kunamwenye mkono juu ya suala hilo mbona ataomba poo kwa bakoraNjia nyepesi ya kumkamata mwizi mwenye machale wale wezi wenye kinga za kichawi yaani ukiwafata kuwakamata wanapata ishara/ machale wanawahi kuondoka kabla, kumbuka mwizi yeyeto ni lazima awe mchawi uongozwa na jini la wizi. Ukienda msiwe na kitu chochote chenye asili ya chuma mwilini mwenu mfano saa, silaha, panga au chochote, vitu vyenye asili ya chuma vinakuwa ditected kwenye hirizi zao hivyo usepa kabla amjafika.
Pia mwizi mwenye ndumba aumii zaidi ya kuzuga pindi alapo kisago, tumia mti wa muhogo au itafuteni hirizi yake muitoe kwanza ndipo mmpe kipigo. Ukimkamata mchawi Ili aumie mpige na fimbo ya mti wa muhogo ndo ataumia.

Tu elekeze mkuu namna ya kufanya hapaTo get required freq ni vizuri ukazigeuzia kwenye kiarabu, ili khodam wafanye wepesi
Sina hata mahela.....basi tuKama unamahela mengi afanyaje jamani? Ha ha ha!
Ukiziandika kwenye sahani juu na chini ukatupia kwenye moto huweza kuathiri moto katika kusonga mbele na pengine kuuzima.Ahsante mkuu
Mara nyingi naona huchaguliwa mtu aliekua anaelewana sana na marehemu na kumtamkia marehemu kwa kumsihi ili asisumbue msafara unaomsindikiza,au huwekwa jiwe dogo tu au udongo toka mkoa anaotaka kupelekwa kama kuna ndugu anatoka mkoa huo kuja msibani anaweza kuja na kimoja wapo ili kabla safari kuanza lile jiwe huwekwa kwenye gari lenye mwili na njia nyingine nyingi kutokana na tamaduniWadau kuna hili suala muhimu sana piah linahitaji maoni yenu!
Kwa kawaida sijui niseme mazoea au vipi?
Linapotokea suala la msiba, mfano: msiba umetokea sehemu โH' na marehemu anatakiwa asafirishwe kwenda sehemu โS'. Mfano mkoa hadi mkoa.
Sasa wakati wa safari wakati mwingine huibuka sintofahamu na mauzauza kibao, mara sijui gari imezima ghafla, tairi imekosa upepo mara sijui nini, na mambo mengine kibao.
Sasa kuna namna ya kuzibiti hili suala ili kusiwe na hali kama hiyo njiani.??
Nawasilisha [emoji1666][emoji1666]
Aha sawa sawaMara nyingi naona huchaguliwa mtu aliekua anaelewana sana na marehemu na kumtamkia marehemu kwa kumsihi ili asisumbue msafara unaomsindikiza,au huwekwa jiwe dogo tu au udongo toka mkoa anaotaka kupelekwa kama kuna ndugu anatoka mkoa huo kuja msibani anaweza kuja na kimoja wapo ili kabla safari kuanza lile jiwe huwekwa kwenye gari lenye mwili na njia nyingine nyingi kutokana na tamaduni
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Huu kwa watu wa Kigoma ndio unatumika kunenepesha uume, Unaitwa mlemelaKwa walioulizia muegeya ndio huu hapa, wengine wanauita Mvunge.
View attachment 2276653View attachment 2276654
Shukrani sana mkuu, ikipendeza weka picha za mimea yote uliyotaja.Na mimi napandisha hii,
๐๐ฎ๐บ๐ฎ ๐๐ป๐ฎ๐ฑ๐ฒ๐บ๐ ๐ฎ๐ ๐บ๐ธ๐ฒ ๐ป๐ฎ ๐๐ป๐ฎ๐๐ฎ๐ธ๐ฎ ๐ฎ๐๐ถ๐ธ๐๐ฎ๐ฐ๐ต๐ฒ ๐ฑ๐ฎ๐ถ๐บ๐ฎ ๐ฐ๐ต๐๐ธ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐๐๐ป๐ฑ๐ฎ ๐ณ๐๐ฟ๐ฎ๐ป๐ถ ๐ต๐ถ๐๐ถ ๐ต๐๐๐๐บ๐ถ๐ธ๐ฎ ๐ธ๐๐๐ถ๐ป๐ฑ๐ถ๐ธ๐ถ๐ฎ ๐ป๐ท๐ถ๐๐ฎ ๐๐ฎ๐๐ถ๐ผ๐ป๐ฑ๐ผ๐ธ๐ฒ/๐๐ฎ๐๐ถ๐๐ผ๐น๐ผ๐ธ๐ฒ, ๐ต๐ฎ๐๐ผ ๐บ๐ฎ๐๐๐ป๐ฑ๐ฎ ๐ต๐๐ฝ๐ฎ๐๐ถ๐ธ๐ฎ๐ป๐ฎ ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐บ๐บ๐ฒ๐ฎ ๐ท๐ฎ๐บ๐ถ๐ถ ๐๐ฎ ๐บ๐บ๐ฒ๐ฎ ๐๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ฏ๐ผ๐ด๐ฎ, ๐ป๐ฎ ๐บ๐ฏ๐ฒ๐ด๐ ๐๐ฎ๐ธ๐ฒ ๐ต๐๐๐ฎ ๐ธ๐ฎ๐บ๐ฎ ๐บ๐ฎ๐ฏ๐ผ๐ด๐ฎ,
๐๐ฎ๐๐ถ ๐ฐ๐ต๐๐ธ๐๐ฎ ๐๐๐ป๐ฑ๐ฎ ๐บ๐ผ๐ท๐ฎ ๐๐ฒ๐ธ๐ฎ ๐ฐ๐ต๐ถ๐ป๐ถ ๐๐ฎ ๐ด๐ผ๐ฑ๐ผ๐น๐ผ ๐๐ฒ๐ต๐ฒ๐บ๐ ๐๐ป๐ฎ๐๐ผ๐๐ฒ๐ธ๐ฎ ๐ธ๐ถ๐ฐ๐ต๐๐ฎ ๐ต๐ฎ๐ฟ๐ฎ๐ณ๐ ๐๐๐ฎ๐ธ๐ฎ๐ฝ๐ผ ๐๐ฒ๐ ๐ป๐ฎ๐๐ฒ ๐ฎ๐ธ๐ถ๐๐ผ๐ธ๐ฎ ๐ต๐ฎ๐ฝ๐ผ ๐ต๐ฎ๐๐ผ ๐ธ๐๐ฎ๐ฐ๐ต๐ฎ ๐ธ๐ฎ๐บ๐๐ฒ,
๐๐ฒ๐ข๐ง๐ ๐ข๐ง๐ ๐ค๐๐ฆ๐ ๐ฎ๐ง๐๐ญ๐๐ค๐ ๐ค๐ฎ๐๐๐ก๐๐ง๐ ๐ง๐ ๐ฆ๐ญ๐ฎ ๐ฃ๐ฎ๐ฆ๐ฅ๐ ๐ฒ๐๐๐ง๐ข ๐๐ข๐ค๐ฎ๐ญ๐๐๐ญ๐ ๐ฐ๐๐ฅ๐ ๐ค๐ฎ๐ฐ๐ ๐ง๐ ๐ฐ๐๐ณ๐จ ๐ง๐ ๐ฐ๐๐ฐ๐, ๐ค๐ฎ๐ง๐ ๐ฆ๐ง๐ฒ๐๐ฆ๐ ๐๐ฆ๐๐๐ฒ๐ ๐ก๐ฎ๐ญ๐๐ง๐ ๐๐ง๐๐ณ๐ ๐ง๐ฒ๐ฎ๐ฆ๐๐ ๐ฉ๐จ๐ฅ๐ข๐ง๐ข ๐ฆ๐๐๐ง๐จ ๐ค๐๐ฆ๐ ๐ค๐ข๐จ๐ญ๐ ๐๐ก๐ ๐ง๐๐๐ ๐, ๐ฎ๐ค๐ข๐๐ก๐ฎ๐ค๐ฎ๐ ๐ฎ๐ฅ๐ ๐ฆ๐ญ๐ข ๐ฎ๐ค๐๐ฎ๐ฐ๐๐ค๐ ๐ฎ๐ฐ๐๐ง๐ข ๐๐ค๐ข๐ฎ๐ฏ๐ฎ๐ค๐ ๐ญ๐ฎ ๐๐๐ฌ๐ข ๐๐ญ๐๐๐๐๐ ๐ฏ๐ข๐ฅ๐๐ ๐จ ๐ง๐ ๐ก๐๐ญ๐จ๐ฐ๐๐ณ๐ ๐ค๐ฎ๐ค๐ฎ๐ญ๐๐๐ญ๐ ๐ญ๐๐ง๐ ,( kuhusu huyu mnyama nitaulizia jina nitawatajia)
Kama unapita sehemu hatarishi na unaona kabisa kuna watu wabaya mbele kuna mmea au maua furani huota sana maeneo ya nyikani sehemu za tambalale yanaitwa kwa kilugha (๐๐ฅ๐๐ง๐ ๐๐ฅ๐) ukiyachuma majani haya na kujipaka maybe kwa kuchanganya na mafuta au kwa kuyafikicha na kujipaka mwili mzima Utapita kama ni mbele ya majambazi au watu wabaya na hawata kudhuru,
Nikipata mda wa kwenda kijijini nitawawekea picha ya majani haya.
Na mimi napandisha hii,