Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Dawa ya kutoa jini mwilini
Uthithubutu kama huna elimu kamili na hujui ukubwa wa huyo kiumbe alie mwilini wakati mwingine husababisha hadi kifo kwa mtoaji au mtolewaji,dawa za hao zipo hasa hasa mafuta ya thwaumu ukitumia haya mara kwa mara kiumbe hakai ndani yako,mchanganyiko wa dawa za kuchuma kwa wale viumbe korofi sina kumbu kumbu zote ila ya muhimu ni kifagio

Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
 
Hii paragraf ya pili kwa njia rahisi ya kufanikisha hilo hakuna??

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Hii paragraf ya pili kwa njia rahisi ya kufanikisha hilo hakuna??

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Hapana sifahamu njia nyingine but me niliambiwa mnyama mwenyewe ni Sokwe,
ukipata mti aliotengeneza kitanda au mfano wa nyumba kama kiota ukatupa kwa mtu unayetaka muachane basi ataondoka na kwenda mbali sana na wewe
 
Mti wa mnyonyo:
===========
Amka asubuhi nenda moja kwa moja kwenye mti dume wa mnyonyo, chuma kashina kekundu na majani ya juu saba, kalete kashina Kako mpaka juu ya meza ndani mwako kafunike na kitambaa cheupe safi, kiamrishe Nina shida ya fedha nahitaji fedha haraka sana nataka unisaidie, fanya hivyo mara tatu na kukigonga mara tatu tu.
Baada ya hapo chukuwa majani yako saba pamoja na ndio ya chuma zile za kizamani, siginia majani yako humo we mpaka yawe kama yanataka kutoa povu kogea kwa nuizi, Subiri kitakachokufuata utafurahi sana.
Kile kijit i kisitiri ndani mwako!
 
Picha mkuu ya huo mti??
 
Mnyonyo dume nitaujuaje?
 
Alovera Poli ni dawa ya kurudisha kumbukumbuku Kwa mtu anayesahau mara Kwa mara lenyewe ni kubwa ivi afu ukilitafuna ni litamu si chungu kama haya ya kupandwa nikirudi kijijini nitapiga picha matumizi yake unalitafuna lenyewe likiwa bichi kipande kidogo

Mbili dawa ya kutibu mkanda jeshi au Kwa jina jingine unaitwa moto wa Mungu haya hadi niwe napicha pia manaa jina sjajui ila nikiyaona nayafahamu ni majani ambayo Huwa yanapenda kuota katikati ya mti au vichaka Yana vimajani vyembamba unachukua unatwanga unpaka sehemu ambayo imeathirika
 
Hili hapa - halina uchungu wowote na lina utelezi (ute-ute) mwingi sana. (Edible sweet alovera)
 
Mkuu pole sana aisee, fanya maamuzi magumu ndugu. Ukiamua utaweza amini hivyo kaka.
Kaka heshima yako.... mimi naomba uniambie dawa ya kuacha sigara maana zinanitesa sana mkuu.nshajaribu kuacha mwezi tu nsharudia kuvuta tena kwa kasi tofauti na mwanzo.fanya hivyo kaka maana mambo haya siyapendi sema basi tu.
 
Picha mkuu maana kuna aina kama 7 hivi za alovera
 
Ndio hili hili linavidoti doti afu sio chungu kabisa
Na huwa ni shina moja tu halitoi matawi au maotea(Suckers) kama baadhi ya yale yanayopandwa majumbani kama maua/urembo. Tofauti kubwa ni kule kutokuwa na uchungu wowote na ute wake ni colourless kama maji na utelezi. Hayo aina nyingine ute wake ni njano na ni mchungu sana na hayana utelezi ni almaarufu kama shubiri mwitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…