Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
- Thread starter
-
- #581
Safi sana,naongeza tu, Kata vipande saba vya mti huo, chemsha jikoni kwa maji, yaepue tumia kumkanda mwenye shida ya kiuno na mgongo!Uzi wa Kuishi nao milele,
Pongezi kwa watoa elimu na wachangiaji wa kawaida hadi kufikia hapa,
Asanteni sana,
Tiba
kipande cha mti wa muhogo ukiwa safarini hasa zile safari za miguu hakikisha unashikiria mkononi pia usithubutu kubadilisha mkono hiyo ni tiba kwa watu wabaya uwapo safarini,
Lakini kama safari yako si ya miguu basi pata kipande weka mfuko wa suluari au sketi au gauni lako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda maduka ya dawa asili karibu na msikiti wa barabara ya 9 utaupata wa buku nimwiiingiiiNaomba unieleweshe huu dawa silijui kaka.mimi nipo Dodoma
Mkuu mti wa muhogo huu tunaochimba na kula au ule usiochimbwa mihogo yaan unao chumwa mboga tuUzi wa Kuishi nao milele,
Pongezi kwa watoa elimu na wachangiaji wa kawaida hadi kufikia hapa,
Asanteni sana,
Tiba
kipande cha mti wa muhogo ukiwa safarini hasa zile safari za miguu hakikisha unashikiria mkononi pia usithubutu kubadilisha mkono hiyo ni tiba kwa watu wabaya uwapo safarini,
Lakini kama safari yako si ya miguu basi pata kipande weka mfuko wa suluari au sketi au gauni lako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muhogo asilia kiongozi,Mkuu mti wa muhogo huu tunaochimba na kula au ule usiochimbwa mihogo yaan unao chumwa mboga tu
Tafuta tangawzi mbichi,kitunguu sawaum na karafuu.Nisaidie dawa ya jino
Mkuu malembeka18; Korodani hazikai hata siku moja mkao wa kulingana (Level). Kwa kawaida na ndivyo tulivyoumbwa, moja huwa juu kidogo ya mwenzake (zinapishana uning'iniaji wake).Tiba ya korodani mmoja kuwa chini
Hili alovera nimekuta porini ila ni chungu sana nimelitafuna nikashidwa nitofauti na lile la kurudisha kumbukumbu.Ngoja nikapata picha yake nitaliweka ni kama Hilo alilotuma jamaa ila lenyewe linaota lenyewe sio la kupandwa
Naitaka hii kitu mkuuSasa hivi dunia ni kijiji ndugu yangu,kama ukihitaji inakufikia popote ulipo.
Ukipata jib unitag kuna dogo ni muhanga katika hili ila yeye aliambia sababu itakuwa ni ugonjwa wa Henia ambao dawa yake ni upasuaji tu,Wataalamu hapa vipi? View attachment 2316128
Mfano?Kuna baadhi ya dawa nimefanya kama mlivo elekeza humu but matokeo yamekuwa ni zero hivyo basi nashauri kuwe na ushuhuda kwa waliofanikiwa kwa dawa walizo elezwa humu, Tusijaze uzi tu humu kwa dawa ambazo hakuna anayezifanyia kazi, Karibuni
NOT, hii nimetoa si kwa kupiga uzi huu.
Majani ya muhogo,Mfano?
Ukisema hivyo unakuwa bado hujaeleweka. Elezea vizuri ulitumia muhogo au pilipili kwa njia ipi na ulikuwa unategemea kupata matokeo gani ili ijulikane wapi hapakuwa sawa.Majani ya muhogo,
kingine pilipili,
Nilifanyia kazi vitu vingi, ila nawe angalia kazi ya vitu hivyo kavifanyie kazi harafu leta mrejesho
Shida dawa zingine tunazijua kilugha kulingana na kabila husika.....Mwenye kuufahamu mti huu tafadhali...
Kuna dawa fulani ya mtu aloungua na
moto, uwe umetokana na uji,chai au vyovyote vile,
Nakumbuka bibi yangu alikuwa anabandua magome ya mti huo kisha baadhi anapata unga na magome mengine anachemsha kwa kuongeza na maji na baada ya mchemsho huwa na rangi nyekundu kama damu, maji haya ni kwa ajili ya kusafishia vidonda tu na
ule unga wa magome uliosagwa ulikuwa na rangi nyekundu au pinki fulani na hutumika kupaka sehemu zote zilizoungua na moto kisha mgonjwa anaweza kukaa kama siku tatu hivi anaangaliwa kidonda kinaendeleaje ili kufahamu kama kuna ulazima wa kuosha tena na kubandika upya dawa,
KUMBUKA
ya maji ya kusafishia uwe unapasha joto kutokana na uvumilivu wa ngozi ya mtu unaemtibia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lenyewe sio chungu bwana Kwa sababu mim nimetumia sio kwamb napewa stori na mtu afu ilo lilitaka kufanana na Yale ya kupanda afu ukilimega linamaji mengi litamu halina uchungu kabisa mim nikipata picha nitakutumia ulinganishe na Hilo linaweza likawa Hilo ila likawa limeathiriwa na Hali ya hewa au limekaa mda mrefu ila pia hata Hilo chungu ni dawa ya tumbo hasa tumbo la kuendeshaHili alovera nimekuta porini ila ni chungu sana nimelitafuna nikashidwa nitofauti na lile la kurudisha kumbukumbu.View attachment 2319163
Majani ya muhogo,
kingine pilipili,
Nilifanyia kazi vitu vingi, ila nawe angalia kazi ya vitu hivyo kavifanyie kazi harafu leta mrejesho