Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Kwa watakao tumia tiba yoyote kutoka humu atoe ushuhuda amesaidika bila kujali kwa ukubwa au udogo gani.

Umetumia tiba gani
Umetumiaje (kwa muda gani).
Italeta uhai wa hii thread na kua msaada.
 
Kwenye uzi huu kuna mtu ashawai experience tatizo la uume mdogo na kuwai kumwaga wakati wa tendo i mean kwa anaeona madhara ya punyeto. Alifanyaje na alitumia dawa gani kutibu na kuwa normal. Nahitaji kufahamu ila kwa ambae amejichua kwa zaidi ya miaka 11 na akapona @
 
Matumizi mazuri zaidi ya chumvi mawe hata kwa mgonjwa aliyeathirika sana na manguvu ya giza, ishike kwenye viganja vyake, elekea magharibi zungumza maneno haya mara 66, MAZJALIN, BAZJALIN. Uone maajabu ya ajabu, infact ni njia rahisi ya kutengeneza maji nathubutu kusema ni zaidi ya maji ya upako.
 
Habari, Hongera Kwa uzi huu ni msaada kweli kweli
Me naomba msaada Nina kohoa sana kikohozi kikavu muda Sasa nimetumia asali tangawazi kitunguu saum lkn wap msaada tafadhali

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Msaada tutani dawa ya hii hali shingon kwa mtoto inamjda mrefu anatumia dawa inapoa akiacha inarud
 
Habari, Hongera Kwa uzi huu ni msaada kweli kweli
Me naomba msaada Nina kohoa sana kikohozi kikavu muda Sasa nimetumia asali tangawazi kitunguu saum lkn wap msaada tafadhali

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Chemsha maziwa, weka turmeric na tangawizi, na karafuu powder kunywa mkuu kitaachia tu. Kila asubuhi na jioni.
 
Mie nimetumia mizizi ya mgomba na dude lake lile la rangi ya pinki kuogea na kunywa vimesaidia
Safi mkuu. Inatia moyo na umewasaidia wengi kuamini mambo haya.

Nyote mliotoa tips mbali mbali kongole kwenu, na mje muone mmoja kati ya wengi wamenufaika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…