Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najibu hii kitaalamu,HABARI MKUU....DAWA YA MTOTO ANAYEDONDOSHA UDENDA KWA KIASI KIKUBWA NI NINI??
Vipi kuhusu miguu ambayo haina nguvu mkuu??Safi sana,naongeza tu, Kata vipande saba vya mti huo, chemsha jikoni kwa maji, yaepue tumia kumkanda mwenye shida ya kiuno na mgongo!
Matumizi mazuri zaidi ya chumvi mawe hata kwa mgonjwa aliyeathirika sana na manguvu ya giza, ishike kwenye viganja vyake, elekea magharibi zungumza maneno haya mara 66, MAZJALIN, BAZJALIN. Uone maajabu ya ajabu, infact ni njia rahisi ya kutengeneza maji nathubutu kusema ni zaidi ya maji ya upako.Uzi udumu milele,
Kwa jinsi nilivyosoma kupitia huu uzi hayo majani na pilipili ni katika kuleta bahati/ kusafisha nyota.
Umefuata utaratibu wa dozi au formula yake jinsi inavyopasa kutumia,hata chumvi mawe ukiitumia vizuri inatoa majibu ie mara (asbh mchana jioni) 7, 14 au 21 kulingana na ukubwa wa tatizo lako.
Tuondoe mind set kwamba vyetu avina maana kumbuka wazazi/ mababu zetu walisavaivu century na century wakitumia izi formula.
Ivi vitu vinafanya kazi kweliii sema sisi tunataka majibu ya hapo kwa hapo bila kuangalia tatizo mpaka ukaligundua ni kwamba uko nalo muda mrefu ivyo kuliondoa pia itachukua muda.
Mkuu pipi za mti ndo pipi zipi hizo????Najibu hii kitaalamu,
Mnunulie pipi za mti awe anatumia angalau mbili kwa siku na zoezi hilo lidumu kwa miezi hata miwili yaani siku 60
Utanishukuru mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chemsha maziwa, weka turmeric na tangawizi, na karafuu powder kunywa mkuu kitaachia tu. Kila asubuhi na jioni.Habari, Hongera Kwa uzi huu ni msaada kweli kweli
Me naomba msaada Nina kohoa sana kikohozi kikavu muda Sasa nimetumia asali tangawazi kitunguu saum lkn wap msaada tafadhali
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa kuwa inarudirudi ointment and injections. Vya kiasili nitaweka baadae mkuu.Msaada tutani dawa ya hii hali shingon kwa mtoto inamjda mrefu anatumia dawa inapoa akiacha inarudView attachment 2329977
Naweka kiti kwa hii threadMaziwa fresh au,
Safi mkuu. Inatia moyo na umewasaidia wengi kuamini mambo haya.Mie nimetumia mizizi ya mgomba na dude lake lile la rangi ya pinki kuogea na kunywa vimesaidia
Jaribu kupaka muarovera mkuuMsaada tutani dawa ya hii hali shingon kwa mtoto inamjda mrefu anatumia dawa inapoa akiacha inarudView attachment 2329977
Kwakuwa inarudiarudia angepiga togamycine!Jaribu kupaka muarovera mkuu