Mshughulishaji
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,351
- 1,875
Msaada dawa ya kisunzua kimekatwa na damu haikatiki, inakata kiasi na akigusa maji tu damu inaanza tena kitoka, msaada tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ipi haswa hapaVaa cheni,saa,bangili,bracet,rozari,tashibihi ya shaba ni kinga dhidi ya negative energy zote ni antbody pia ni kinga ya maradhi ya kiroho na kibaiologia.
Huo ni urembo tu but yeyeto tu maadamu iwe na madini ya copper masonara wanajua ukiwaambia hata wakutengenezee cheni au mkanda wa Saa wa copper wanawezaNi ipi haswa hapaView attachment 2348207View attachment 2348209
Kuna ya wekundu na ya unjano ipi ni bora na mujarabu zaidi.Huo ni urembo tu but yeyeto tu maadamu iwe na madini ya copper masonara wanajua ukiwaambia hata wakutengenezee cheni au mkanda wa Saa wa copper wanaweza
Zote SAwa ni chaguo ni lako tuKuna ya wekundu na ya unjano ipi ni bora na mujarabu zaidi.
asante sana kwa jibu lako chief ! mimi nimepata asthma ukubwani kabisa ila muda. Kuhusu maziwa ya punda je nakunywa kwa muda gani na kwa dar es salaam naweza kuyapata wapi? Na je utumiaji wa hayo maziwa ukoje ( i mean vipimo in case
Nenda duka la Dawa ongea na nesi vizuri kuna dawa inaitwa Liposam.Habari wakuu, Naombeni dawa ya kutoa mimba ya miezi mitatu wakuu!
Mtafute chura, afu amkojoleee..Naombeni dawa ya kuacha kukojoa kitandani kwa mtoto wa miaka 15
Top secrete hidden book which is banned explain. View attachment 2345250
Kuna mdau kanifurahisha kweli kuna zaburi nimempatia hakika amepata nafuu kubwa na ameshukuru kweli,nimefurahi sana Kwa kweli hasa Kwa kupata formula za kutibia kikristo na watu wakapona, am so so happy!Mkuu unacho hiki kitabu share nasi tukipate
Nakipandisha soon.Mkuu unacho hiki kitabu share nasi tukipate
Kipandishe mkuu tupate madiniNakipandisha soon.
Nakipandisha soon.
MREJESHO.Unga wa msamitu hii ni dawa Kwa ajili ya kuimarisha mishipa ya uume iliyolegea kutokana na sababu mbalimbali either iwe kujichua n.k namna ya kutumia unga wa msamitu unachukua unga wa msamitu kiasi unachanganya na mafuta ya mgando dheni unapaka Kweny uume Kwa siku kumi na nne na kuendelea wanashauri wakati unatumia jiepusheshe na kujichua na kufanya mapenzi ili dawa iweze kufanya kazi vizuri na utumie kiasi kidogo tu ukizidisha utavuta sana mishipa ni kidogo sana .na mara moja tu Kwa siku hasa nyakati za usiku .namna ya kupata unga huu ni kweny Maduka ya kisuna hasa kariakoo ni rahisi sana kupata na bei zake Huwa ni Kwa kupima kweny kijiko kuanzia shilingi mia 500 na Kwa mfuko mzima ni shilingi 3000 au 2000 kama sjakosea na ukibatika kupata mfuko mzima unaweza kutumia hadi miaka minne manaa ni mwingi sana angalizo hii si dawa ya kuongeza nguvu za kiume ni dawa ya kuimarisha misuli iliyolegea hii dawa ni nzuri Kwa wale ambao mashine imesima hata hajazamisha mzigo ngoma inanywea kwahyo yenyewe inanaenda kufanya mishipa iwe na nguvu ili kuweza kuruhusu damu ipite kweny uume na kufanya uume uwe ngangali angalizo la pili huu sio mkongo Wala vixy lotion huu ni unga wa msamitu ni tofauti kabisa na mkongo mtu asije kuchanganya mafaili huu haupigi ganzi Bali unaimarisha misuli ya uume ili kuweza kuruhusu damu kuflow Kwa wingi kweny uume kuhusiana na bei ni hiyo nimetaja asije mtu akakuibia akakwambia ni 10000 sijui 20000 hapana bei zake ni 500,1000 Kwa kijiko na 3000 Kwa 5000 Kwa mfuko Kwa mlio dar kaliakoo ndio rahisi zaidi kupata na Kwa wale wa mikoani tafuteni watu mnao wafahamu wataftie kkoo watumie maana ni bei ndogo sana wa buku tu mtu unaweza kutumia hata miezi kumi au mwaka
Picha yake ni huo apo chiniView attachment 2309499
Mavi ya kuku. Mtu afagie banda la kuku kisha achukue baadhi ya mavi ya kuku ayasage hadi yawe unga, akuwekee kwenye pombe bila wewe kujua kisha unywe. Utatapika sana na ndiyo mwisho wa kutamani pombe.Dawa ya kuacha pombe wakuu, natamani kuacha nashindwa