Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Msaada dawa ya kisunzua kimekatwa na damu haikatiki, inakata kiasi na akigusa maji tu damu inaanza tena kitoka, msaada tafadhali
 
Ndugu zangu, ngoja leo nikupeni dawa ya U.T.I. ambayo ni rahisi kuiandaa, na kuitumia.

Andaa juisi ya ukwaju uinywe mara tatu kwa siku, kwa muda wa wiki moja, hadi wiki mbili.
Ikiwezekana fanya juisi ya ukwaju, kama ndicho kinywaji chako, utaona faida nyingi mwilini, pia huimarisha tendo la ndoa, ila juisi uliyoiandaa nyumbani ni bora, kuliko za kununua, nyingi ni maji yenye radha ukwaju tu.
 
Vaa cheni,saa,bangili,bracet,rozari,tashibihi ya shaba ni kinga dhidi ya negative energy zote ni antbody pia ni kinga ya maradhi ya kiroho na kibaiologia.
Ni ipi haswa hapa
images%20(1).jpg
images.jpg
 
Huo ni urembo tu but yeyeto tu maadamu iwe na madini ya copper masonara wanajua ukiwaambia hata wakutengenezee cheni au mkanda wa Saa wa copper wanaweza
Kuna ya wekundu na ya unjano ipi ni bora na mujarabu zaidi.
 
asante sana kwa jibu lako chief ! mimi nimepata asthma ukubwani kabisa ila muda. Kuhusu maziwa ya punda je nakunywa kwa muda gani na kwa dar es salaam naweza kuyapata wapi? Na je utumiaji wa hayo maziwa ukoje ( i mean vipimo in case

TIBA YA PUMU
  • Tangawizi vijiko 4
  • Uwatu vijiko 2
  • Mdalazini vijiko 4
  • Karafuu kijiko 1
  • Asali nusu Lita

Kijiko ni kile cha kulia chakula.

Changanya yote koroga sana tumia kijiko 1 Mara tatu kwa siku.


Uwatu ni nini?
Ukienda maduka ya dawa watakupatia fenugreek, pia ni kiungo kwenye mboga. Wauza viungo wanakifaham hicho kiungo

Hiyo ninaushihuda nayo, imemsaidia wife, nilimtengenezea mwenyewe baada ya kupata formula hiyo kutoka kwa msamalia mwema. Wife kapona. Hasumbuliwi tena na pumu.
 
Unga wa msamitu hii ni dawa Kwa ajili ya kuimarisha mishipa ya uume iliyolegea kutokana na sababu mbalimbali either iwe kujichua n.k namna ya kutumia unga wa msamitu unachukua unga wa msamitu kiasi unachanganya na mafuta ya mgando dheni unapaka Kweny uume Kwa siku kumi na nne na kuendelea wanashauri wakati unatumia jiepusheshe na kujichua na kufanya mapenzi ili dawa iweze kufanya kazi vizuri na utumie kiasi kidogo tu ukizidisha utavuta sana mishipa ni kidogo sana .na mara moja tu Kwa siku hasa nyakati za usiku .namna ya kupata unga huu ni kweny Maduka ya kisuna hasa kariakoo ni rahisi sana kupata na bei zake Huwa ni Kwa kupima kweny kijiko kuanzia shilingi mia 500 na Kwa mfuko mzima ni shilingi 3000 au 2000 kama sjakosea na ukibatika kupata mfuko mzima unaweza kutumia hadi miaka minne manaa ni mwingi sana angalizo hii si dawa ya kuongeza nguvu za kiume ni dawa ya kuimarisha misuli iliyolegea hii dawa ni nzuri Kwa wale ambao mashine imesima hata hajazamisha mzigo ngoma inanywea kwahyo yenyewe inanaenda kufanya mishipa iwe na nguvu ili kuweza kuruhusu damu ipite kweny uume na kufanya uume uwe ngangali angalizo la pili huu sio mkongo Wala vixy lotion huu ni unga wa msamitu ni tofauti kabisa na mkongo mtu asije kuchanganya mafaili huu haupigi ganzi Bali unaimarisha misuli ya uume ili kuweza kuruhusu damu kuflow Kwa wingi kweny uume kuhusiana na bei ni hiyo nimetaja asije mtu akakuibia akakwambia ni 10000 sijui 20000 hapana bei zake ni 500,1000 Kwa kijiko na 3000 Kwa 5000 Kwa mfuko Kwa mlio dar kaliakoo ndio rahisi zaidi kupata na Kwa wale wa mikoani tafuteni watu mnao wafahamu wataftie kkoo watumie maana ni bei ndogo sana wa buku tu mtu unaweza kutumia hata miezi kumi au mwaka

Picha yake ni huo apo chiniView attachment 2309499
MREJESHO.

Dawa inafanya kazi.
 
Back
Top Bottom