Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Msaada dawa ya kisunzua kimekatwa na damu haikatiki, inakata kiasi na akigusa maji tu damu inaanza tena kitoka, msaada tafadhali
 
Ndugu zangu, ngoja leo nikupeni dawa ya U.T.I. ambayo ni rahisi kuiandaa, na kuitumia.

Andaa juisi ya ukwaju uinywe mara tatu kwa siku, kwa muda wa wiki moja, hadi wiki mbili.
Ikiwezekana fanya juisi ya ukwaju, kama ndicho kinywaji chako, utaona faida nyingi mwilini, pia huimarisha tendo la ndoa, ila juisi uliyoiandaa nyumbani ni bora, kuliko za kununua, nyingi ni maji yenye radha ukwaju tu.
 
Huo ni urembo tu but yeyeto tu maadamu iwe na madini ya copper masonara wanajua ukiwaambia hata wakutengenezee cheni au mkanda wa Saa wa copper wanaweza
Kuna ya wekundu na ya unjano ipi ni bora na mujarabu zaidi.
 
asante sana kwa jibu lako chief ! mimi nimepata asthma ukubwani kabisa ila muda. Kuhusu maziwa ya punda je nakunywa kwa muda gani na kwa dar es salaam naweza kuyapata wapi? Na je utumiaji wa hayo maziwa ukoje ( i mean vipimo in case

TIBA YA PUMU
  • Tangawizi vijiko 4
  • Uwatu vijiko 2
  • Mdalazini vijiko 4
  • Karafuu kijiko 1
  • Asali nusu Lita

Kijiko ni kile cha kulia chakula.

Changanya yote koroga sana tumia kijiko 1 Mara tatu kwa siku.


Uwatu ni nini?
Ukienda maduka ya dawa watakupatia fenugreek, pia ni kiungo kwenye mboga. Wauza viungo wanakifaham hicho kiungo

Hiyo ninaushihuda nayo, imemsaidia wife, nilimtengenezea mwenyewe baada ya kupata formula hiyo kutoka kwa msamalia mwema. Wife kapona. Hasumbuliwi tena na pumu.
 
MREJESHO.

Dawa inafanya kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…