low thinking capacity
JF-Expert Member
- Jun 4, 2018
- 1,323
- 1,496
Ebhu tufanye biashara nahitaji kujifunza mengiKweli mkuu bora ukiuze tu mi mwenyewe nilikipataga kwa pesa enzi izo ni vigumu kukipata sana
Mkuu unga unausaga hivhiv au unachoma kwanza ndio unasagaWanasema ukichukua unga wa kokwa la embe kwa mwanamke akiwa ananawa asubuhi na jioni kila kwa maji ya vuguvugu yenye huo unga uke utabana baada ya muda mfupi tu
Kwa mwanaume mwenye dhakari ndogo: pakaaa kwa kuuchua uume na mchanganyiko wa unga huo na mafuta ya ng'ombe kila ukienda kulala usiku, utaona matokeo yake kwa uwezo wa Mungu
Wanawakee eeeh🗣️🗣️🗣️, limbwata ya kumkamata mpenzi /mume wako hii hapa😂.
Mkuu taja bei.....! Tuhangaike nachoBoom[emoji93][emoji93][emoji93]
Mkuu malizia bas hiiWanawakee eeeh[emoji2788][emoji2788][emoji2788], limbwata ya kumkamata mpenzi /mume wako hii hapa[emoji23].
Haijakamilika maana nimeficha baadhi ya sections.
Ni pm tu na offerEbhu tufanye biashara nahitaji kujifunza mengi
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Mkuu naomba unisaidie iyo namba 6 kuna mtu naitaji arudi kwanguWeka mbali na watoto,hilo ni bomu la nyuklia.
Practical and effective
Easy to perform.
Cheap and commonly available ingreduents
No terms and conditions, you perform the rituals you see miracles live.
Only 55 pages.
No blah blah, sijui preface sijui acknowledgements. After Table of contents we start the business directly.
If you want to get effect X, you take a- b -c, then you do 1- 2- 3, wait for the miracles. Hakuna mbwebwe ndo maana Hata kitabu ni kifupi na kina mabomu hatari.
Crocodiletooth
Mkuu naomba ni pm na bei yake [emoji120]Boom[emoji93][emoji93][emoji93]
Kitabu hatar sanaWanawakee eeeh[emoji2788][emoji2788][emoji2788], limbwata ya kumkamata mpenzi /mume wako hii hapa[emoji23].
Haijakamilika maana nimeficha baadhi ya sections.
Kitoe tu BrazaRituals ambazo nimeshuhudia maajabu yake kwa macho yangu live tena papo hapo.
KIVUTA WATEJA KWENYE BIASHARA
BOOM[emoji93][emoji93]..zoom usome
Mwana nchek pm bas tuongee vzur...!!Wanawakee eeeh[emoji2788][emoji2788][emoji2788], limbwata ya kumkamata mpenzi /mume wako hii hapa[emoji23].
Haijakamilika maana nimeficha baadhi ya sections.
Unauza bei gani?Weka mbali na watoto,hilo ni bomu la nyuklia.
Practical and effective
Easy to perform.
Cheap and commonly available ingreduents
No terms and conditions, you perform the rituals you see miracles live.
Only 55 pages.
No blah blah, sijui preface sijui acknowledgements. After Table of contents we start the business directly.
If you want to get effect X, you take a- b -c, then you do 1- 2- 3, wait for the miracles. Hakuna mbwebwe ndo maana Hata kitabu ni kifupi na kina mabomu hatari.
Crocodiletooth
Yan dunia hii wacha jobless nikatafute kazi mieRituals ambazo nimeshuhudia maajabu yake kwa macho yangu live tena papo hapo.
KIVUTA WATEJA KWENYE BIASHARA
BOOM🌟🌟..zoom usome
Unatakiwa upate tiba ya misumari 9, na mibuyu 9.Yan dunia hii wacha jobless nikatafute kazi mie
Unaita vipere baada ya kujikuna?Habari zenu wakuu,ndg zangu mwenye kujua tiba asili za miwasho tusaidiana mana imekuwa mateso sasa,sipati hutulivu hata kidogo kutwa kujikuna hasa nyakati za usiku hadi niupate usingizi n kipengele
Kichomi : kama kinakupata marakwamara, jichunguze. Kuna miili Ina ugomvi namaji ya baridi hata kama una ishi kartumu chemsha maji kidogo yatoke kiubaridi ndio uoge.Msaada wenu wanajamvi.
1. Ipi tiba ya kichomi? Hali hii hunipata upande wa kushoto, pale napofanya mazoezi ya kukimbia au kutembea umbali mrefu kwa haraka.
2. Na tiba ya maumivu mf. wa uchovu wa misuli kwenye misuli ya bega la kushoto. Kuanzia shingoni kwenda ukanda wote wa bega la kushoto.