Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,501
- 6,649
Asante sanaSikuona adi ulivyo Ni tagg
Tumia mdalasini kusukutulia[emoji120]
Natumia inakaribia kuisha now,lkn hakuna afadhali,,au nitumie sensodyne mix mdalasin kabisaJaribu dawa ya meno sensodyne pia ni nzuri mkuu
Umefanya jambo jema. Hili limti nilitaka nilikate, kumbe lina manufaa hivi. Umeliokoa.Bila shaka hamjambo watu wa Mungu. Mimi pia ni buheri wa afya.
Kama ilivyo desturi ya kila mmoja wetu hapa,jambo kuu tunalolipa kipaumbele cha kwanza katika maisha yetu ni afya zetu. Afya imara ndiyo mtaji wa fikra na majukumu yetu ya kila siku. Kwa hiyo tunapopata nafasi ya kubadilishana mawazo tunapeana pia maarifa mbalimbali kadri Mwenyezi Mungu anavyotujaalia.
Kuna watu wana changamoto ya kupungukiwa damu kila wakati, jambo ambalo linawapa fedheha kubwa sana katika maisha yao ya kila siku.Kuna watu kila anapopata homa inabidi apate pia vidonge vya kuongeza chembe hai nyekundu za damu ili aendelee kuboresha kiwango chake cha damu mwilini.
Sambamba na tiba nyingine za kitaalam kutoka kwa wataalamu wetu wa afya, kuna huu mti unaoitwa Mvunge, Wasukuma tunauita Ng'wicha. Mti huu huzaa matunda makubwa makubwa mithili ya Matango ambayo yamekuwa yakitumika katika changamoto ya kuongeza kiwango cha damu katika mwili wa binadamu na mti huu umeonyesha matokeo makubwa toka karne na karne.
Unapokuwa na changamoto hiyo unatakiwa kuaandaa matunda kadhaa ya mti huo (Matatu mpaka matano) unayakatakata na baadaye unaongeza maji na kuchemsha.Baada ya mchemsho wako kuchemka utachuja vizuri kwa ajili ya matumizi. Utatumia glass moja asubuhi, mchana na jioni na ndani ya siku tatu utakuwa imara kabisa! Na hata kama utaenda kupima kiwango chako cha damu utakuta kimeongezeka maradufu.
View attachment 2495274
Katika mimea mingi tunayoitumia kutatua changamoto ya upungufu wa damu,hakuna mmea unaweza linganisha na matunda hayo katika kutibu tatizo hilo.Umefanya jambo jema. Hili limti nilitaka nilikate, kumbe lina manufaa hivi. Umeliokoa.
Ukipaka kny mboo uume unakua mkubwa, daa tukiwa wadogo acha tu asikuambie mtu jamaa alivimba hadi mkojo ukazibaMkuu ningependa kujua faida na madhara ya mmea huu tafadhali.
Khe sasa mbona haina faida sasa maana utakojoaje sasa?Ukipaka kny mboo uume unakua mkubwa, daa tukiwa wadogo acha tu asikuambie mtu jamaa alivimba hadi mkojo ukaziba
WANAWAKE WENGI MNOOO mMEKUWA NATATIZO LAKUWASHWA SRHEMU ZA SIRI NA HATA MWILIN WAMETUMIA DAWA ZA HOSPITAL ILA BADO TATIZO LINAKUWA LIPO MUNGU ALIIUMBA MIMEA ITUMIKE KWA CHAKULA,MATUNDA PIA DAWA USIHUZUNIKE MWANA MAMA,MWANA DADA ZIKO DAWA MUNGU KATUUMBIA KAMA ZAWAD KWA SISI WAJA WAKE HAZINA UCHAWI,HAZINA MASHARTI TUMIA MUOMBE MUNGU UTAKUWA SAWA.
HATUA:TAFUTA MAJAN MABICHI YA MPALACHICHI YATWANGE KTK KINU HADI YALAINIKE
2-ANDAA MAJI SAFI YACHEMSHE MAJAN HAYO NUSU SAA.
3- EPUA PIMA KATIKA KIKOMBE CHA CHAI KUNYWA MARA TATU KUTWA MENGINE UNANAWIA KWA BIBI UKISHAMALIZA KUOGA HAKIKISHA UMEYACHUJA,VIZURI.
4- MUNGU ATAWEKA BARAKA ZAKE UTAKUWA SAFI .
5-HATA KAMA ULIKUWA NATATIZO LAKUTOA HARUFU MBAYA ITAKATA.
6-ENDELEA KUTUMIA SIKU TANO.
Lete dawa ya kuotesha ndevu, nataka kidevu kiwe kama cha HamzaPia waweza changanya mafuta ya nazi na unga wa karafuu ukawa unapaka, kidevu kitageuka kama cha school boy.
duuuuh izo dawa ata moja siijuiMVUTO WA AJABU WA BIASHARA .
DAWA KIBOKO YA MVUTO.
dawa hii ni ya miti dawa hii ni kibojo ya biashara kama wewe ni mama ntilie(muza chakula) mfanya biashara wa aina yoyote basi hili ni bomu lako ili likulipukie , hii dawa niliwai toa humu kipindi hicho na watu waliizarau kwakua hawakuniamin lakin hii nasema utaangaika nadawa za mivuto hili ni bomu kama wewe una frem, kilinge, biashara ya kutembeza , umachinga nk haki ya allah iko juu yetu wana imani nae ni mwingi wa muelevu nenda duka la asili kanunue
1LUHAHO
2MLIPU
3MCHEKA
4MWINAMO
5MVUTE
6KINAMATA.
dawa hii itumie kwa kuchoma kama sehemu yako ya biashara inaruhusu kuchoma , pakaa dawa hii kila siku asubui ila ukiwa umechanganya kwenye mafuta NAZI , ndugu yangu pakaa kwa manuizi ya mvute hata kama wewe kazin kwako hukuwai kupanda cheo basi hii ni mwisho wao utapanda , na umefukuzwa kazi alafu huelewi kuwa nini sababu basi hili ni ponyo sina mengi fanyeni ili mufaidike na nyinyi ndugu zangu🙏🏽.
Mkuu haujafa mbona kila siku Tupo?, fuatilia date to dateUzi umekufa kifo cha mende. Hakuna mirejesho wala nini
Duh! Kumbe, tupe elimu hii mkuu.. utomvu wake uliwahi nipata machoni aseee nilihisi napofuka siku hiyo.Ukipaka kny mboo uume unakua mkubwa, daa tukiwa wadogo acha tu asikuambie mtu jamaa alivimba hadi mkojo ukaziba
KapoteaDuh! Kumbe, tupe elimu hii mkuu.. utomvu wake uliwahi nipata machoni aseee nilihisi napofuka siku hiyo.
MVUTO WA AJABU WA BIASHARA .
DAWA KIBOKO YA MVUTO.
dawa hii ni ya miti dawa hii ni kibojo ya biashara kama wewe ni mama ntilie(muza chakula) mfanya biashara wa aina yoyote basi hili ni bomu lako ili likulipukie , hii dawa niliwai toa humu kipindi hicho na watu waliizarau kwakua hawakuniamin lakin hii nasema utaangaika nadawa za mivuto hili ni bomu kama wewe una frem, kilinge, biashara ya kutembeza , umachinga nk haki ya allah iko juu yetu wana imani nae ni mwingi wa muelevu nenda duka la asili kanunue
1LUHAHO
2MLIPU
3MCHEKA
4MWINAMO
5MVUTE
6KINAMATA.
dawa hii itumie kwa kuchoma kama sehemu yako ya biashara inaruhusu kuchoma , pakaa dawa hii kila siku asubui ila ukiwa umechanganya kwenye mafuta NAZI , ndugu yangu pakaa kwa manuizi ya mvute hata kama wewe kazin kwako hukuwai kupanda cheo basi hii ni mwisho wao utapanda , na umefukuzwa kazi alafu huelewi kuwa nini sababu basi hili ni ponyo sina mengi fanyeni ili mufaidike na nyinyi ndugu zangu[emoji1431].