Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UTI sugu mkuu unachemsha vitunguu maji kadhaa kuanzia 4 unachuja alafu yale maji unatumia kikombe unaweka nusu kjiko cha bicarbonate of soda ile maarfu kama chapa simba yenye box la rang ya blue na red ktwa mara 2 ndani ya wiki mojaNaomba kujuzwa mmea au namna ya kutibu Uti ya muda mrefu...ukiweka na picha ntashukuru zaid
Shukran mkuu...!!UTI sugu mkuu unachemsha vitunguu maji kadhaa kuanzia 4 unachuja alafu yale maji unatumia kikombe unaweka nusu kjiko cha bicarbonate of soda ile maarfu kama chapa simba yenye box la rang ya blue na red ktwa mara 2 ndani ya wiki moja
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Tumia mchai chai kuchemsha majani na mazizi yake,kunywa 1X3 siku 21 inshallah hii inatibu UTI za aina zote inshallah kisha njo utupe mrejesho apa🙏🏽Naomba kujuzwa mmea au namna ya kutibu Uti ya muda mrefu...ukiweka na picha ntashukuru zaid
Salama anakolomaje akilala🤷🏾♂️Abari wakuu naomba dawa ya kwa mtoto anayekoloma akilala
Nalitamani sana, I wish nilipande home kwanguMim linisadia sana Hilo niliumwa hadi nikawa napoteza kumbukumbuku mzee aliyekua ananitibia alivyogundua nasahau sana akawa ananipeleka porini kwenda kulitafuna hadi Leo kumbukumbuku zilirudi sababu ya Hilo dude ndio maana Huwa silisahau kirahisi
Mti gani unaitwa?Safi sana,naongeza tu, Kata vipande saba vya mti huo, chemsha jikoni kwa maji, yaepue tumia kumkanda mwenye shida ya kiuno na mgongo!
Inawezekana ikawa ni pumu ya ngozi a.k.a eczema, nasikia haina tiba huko hospitalini.Msaada tutani dawa ya hii hali shingon kwa mtoto inamjda mrefu anatumia dawa inapoa akiacha inarudView attachment 2329977
Umeshaanza dozi?Shukrani sana, naanza dozi mara moja
Sasa mbona umekaa kama nanihii.Huacrapona palm tree mtu huu unapatikana Latin America lakini pia Congo, ndio chanzo cha dawa zetu zileeee!
View attachment 2414741View attachment 2414744
Huu mti bhn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huacrapona palm tree mtu huu unapatikana Latin America lakini pia Congo, ndio chanzo cha dawa zetu zileeee!
View attachment 2414741View attachment 2414744
Sawa mkuuJINSI YA KUONDOA WEUSI KWENYE MAPAJA , SHINGONI , MAKWAPANi [emoji521][emoji522][emoji3048][emoji1646][emoji1649].Kuwa mweusi maeneo katika mwili has a mapajani, shingoni, makwapani sio tatizo La kiafya, lakini ni kitu kinachoboa na kuupa dosali mwili wako[emoji17] Hili tatizo linatooana na kutokwa na jasho jingi kupita kiasi. Na usafi hafifu au matumizi mbalimbali za kunyolea kama kiwembe au kushave. NJIA ZA KUEPUKA AU KuJITIBU .sehemu iliyo na weusi.[emoji108].
[emoji255] LIMAO/ NDIMU[emoji522].Lina sifa ya kuondoa harufu na uchafu kwenye ngozi na kung'alisha MATUMIZI . Paka juisi [emoji522] sehemu huska kisha acha dk20 ondoa kwa kitambaa kibichi. Fanya Mara 3 kwa wiki ili upate matokeo mazuri.
[emoji255]: UTE WA ALOVERA/ msubiri. Inasifa ya kungalisha ngozi[emoji108] MATUMIZI kamua ute wa alovera na paka sehemu usika na massage mpaka uweze kunyonywa na ngozi kisha Osha kwa kitambaa kibichi cha maji ya uvuguvugu fanya kila sku Mara 2 kwa matokeo mazur.
[emoji255]TANGO[emoji1646] lina sifa ya kuondoa uchafu na seli zilizo kufa kwa ngozi MATUMIZI paka kipande cha[emoji1646] au juice take kisha massage kbaridi
10 kisha suuza kwa maji fanya mara2 kwa siku.
[emoji255]MAFUTA YA NAZI[emoji3048] fat acid (tindi Kali) iliyopo kwenye mafuta ya Nazi inasaidia kung'arisha na kuondoa madoa meusi . Mafuta ya Nazi yanafanya kazi nzuri kwenye unyevunyevu[emoji108] MATUMIZI changanya kijiko 1 cha juice ya limao ktk mafuta ya Nazi pakaa sehemu usika na acha dk 10 fanya hivi mara 1 kwa Siku.
[emoji255]MAGANDA YA MACHUNGWA[emoji521] yana sifa ya kuondoa uchafu na madoa kwenye ngozi . Tengeneza unga wa maganda ya chungwa yakaushe chukua vijiko 2 vya unga wa maganda ya chungwa kicha vijiko 2 vya rose water Tengeneza had I mchanganyiko use mzito paka eneo husika ongeza na Asali mbichi itakuwa vizur zaidi acha dk 15_20 ondoa na maji baridibaridi
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji1666]
From Moro town
Mimi nilikuwa muhanga wa tatizo hili kwa zaidi ya miaka kumi, Nikaponea You tube kwa mdada fulani alikuwa anafundisha tiba simple sana.Mkuu tupeni remedy ya mapele ya ndevu, tunawashukuru
Pia waweza changanya mafuta ya nazi na unga wa karafuu ukawa unapaka, kidevu kitageuka kama cha school boy.Mimi nilikuwa muhanga wa tatizo hili kwa zaidi ya miaka kumi, Nikaponea You tube kwa mdada fulani alikuwa anafundisha tiba simple sana.
Chukua Colgate ile dawa ya mswaki, Kisha chukua maji ya limao na mafuta ya nazi, changanya hadi upate mchanganyiko mzuri. Vipimo iwe ni ujazo sawa kwa kila kimoja. Kisha nyoa ndevu zako vizuri then upake kwa siku saba. Vipele vyote vitaisha. After that kila ukinyoa uwe unaitumia hiyo kama after shave yako kwa ile siku ambayo umenyoa na asubuhi yake. Ukipaka unakaa nayo dakika ishirini hadi nusu saa then unaosha kwa maji safi ya moto.
Mi nimetumia na nimepona kabisa mapele sumbufu ya ndevuMafuta
Huu mchanganyiko unaweza paka mwili mzma??Pia waweza changanya mafuta ya nazi na unga wa karafuu ukawa unapaka, kidevu kitageuka kama cha school boy.
Ngiri labdaNahisi maumivu ya tumbo na gesi upande wa chini wa korodani ya kushoto kama inavuta Baada ya muda maumivu yana toweka lakini wakati mwengine napata hali ya kuharisha .nilifanya kipimo mara ya mwisho Nika onekana na ulcers. Sielewi hii ishu inatokea Mara mbili Sasa na kutoweka
Msaada jamani nateseka sana na hii hali..Kama anajua dawa anieleze