Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Twende kwa mgangaWakuu habari, nina tatizo la macho, ili niweze kusoma gazeti au kutumia simu ni lazima niweke mbali kidogo ndio nitaweza kusoma, na mara nyengine maandishi yanavurugika siyaoni vizuri, je wadau Kuna lishe yoyote au tiba yoyote asilia kabla sijaingia katika miwani au chemical?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wakuu habari, nina tatizo la macho, ili niweze kusoma gazeti au kutumia simu ni lazima niweke mbali kidogo ndio nitaweza kusoma, na mara nyengine maandishi yanavurugika siyaoni vizuri, je wadau Kuna lishe yoyote au tiba yoyote asilia kabla sijaingia katika miwani au chemical?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Heshima yako mkuu, nipo kwenye dose ya muegea siku ya 3 leo naona matokeo yameanza mashallah!Ilo mujarabu jitaid ulipate
Pole mkuu kwa hilo tatizo ;Wakuu habari, nina tatizo la macho, ili niweze kusoma gazeti au kutumia simu ni lazima niweke mbali kidogo ndio nitaweza kusoma, na mara nyengine maandishi yanavurugika siyaoni vizuri, je wadau Kuna lishe yoyote au tiba yoyote asilia kabla sijaingia katika miwani au chemical?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Yamefanyaje tatizo linaanzia hapoHayo majani huyajui mkuu ni magugu nadhani
Badilisha mfumo wa kula... mfatilie dr boaz mkumbo youtube na insta na fb... unafundishwa kuacha vyakula vya sukari na uwanga kabisaaa na kula vyakula mbadala ambavyo vinavyotokana na wanyama na mboga za majani tu kwa muda wa miezi mitatu.... ukiweza kufanya hivyo utapona maradhi mengi sana ambayo hapo zamani hukuzani km ni maradhi... ikiwemo na kupunguza kitambi na uzito mkubwaNasumbuliwa na mafua makali chanzo nikitumia kinywaji Cha baridi,maziwa,nyama yenye mafuta mengi na pia nikikutana na mazingira yenye mavumbi pamoja na baridi kali, inanitesa sana, msaada wakuu
Shukran mkulu, nitafuata maelekezo inshaallah.Pole mkuu kwa hilo tatizo ;
Dawa ya tatizo lolote la macho hata kama unatumia miwan utapona tu
Chukua vifuu vya nazi osha vizuri kausha vichome moto mpaka viwe vyeusi siyo majivu saga upate unga alafu tumia huo unga mweusi vijiko 2 kwenye maji ya vuguvugu kikombe 1 asubuhi kabla hjala kitu kunywa na jioni ukitaka kulala tumia ndani ya wiki 2....3 lete mrejesho ukipenda
Mkuu weka pichaHabari za usiku huu, naomba nishare nanyi dawa Moja itokanayo na mmea uitwao leaf of life, sijui kwa kiswahili unaitwaje.
Hili Jani nililifahamu kabla lakini sikuwahi kulitumia, Juzi wife alipata tatizo la kifua alikuwa anakohoa Sana, na pumzi zinabana Sana na akipumua ni Kama mtu mwenye pumu, kumbukumbu ikanijia kuwa huu mmea unasaidia kwa matatizo ya upumuaji na bahati ninao mmea wenyewe, nilichuma Jani Moja akalitafuna na kufyonza maji yake, basi baada ya Kama dakika Tano tu akawa Safi kabisa kifua kimefunguka na akapata usingizi Safi kabisa.
Tuutumie huu mmea nasikia umejaaliwa kuwa sababu ya kuponya maradhi mengi tu.
Tafadhali Kama Kuna anayejua matumizi zaidi ya LEAF OF LIFE ni vyema ayaweke ubaoni hapa ili sote tuelimike.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ngoja nijaribuMkuu weka picha
Mkuu haifunguki hiyo picha
Kweli kabisa. ni dawa nzuri pia kwa watoto wenye kifua+mafua.Habari za usiku huu, naomba nishare nanyi dawa Moja itokanayo na mmea uitwao leaf of life, sijui kwa kiswahili unaitwaje.
Hili Jani nililifahamu kabla lakini sikuwahi kulitumia, Juzi wife alipata tatizo la kifua alikuwa anakohoa Sana, na pumzi zinabana Sana na akipumua ni Kama mtu mwenye pumu, kumbukumbu ikanijia kuwa huu mmea unasaidia kwa matatizo ya upumuaji na bahati ninao mmea wenyewe, nilichuma Jani Moja akalitafuna na kufyonza maji yake, basi baada ya Kama dakika Tano tu akawa Safi kabisa kifua kimefunguka na akapata usingizi Safi kabisa.
Tuutumie huu mmea nasikia umejaaliwa kuwa sababu ya kuponya maradhi mengi tu.
Tafadhali Kama Kuna anayejua matumizi zaidi ya LEAF OF LIFE ni vyema ayaweke ubaoni hapa ili sote tuelimike.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
nenda google ushapewa jinaMkuu haifunguki hiyo picha
Jani zuri Sana, na kizuri zaidi linakubali katika hali zote za udongo na linavumilia Sana ukamenenda google ushapewa jina
Yaweza kuwa pia una mzio au allergy ya vitu km vumbi. Mfano sasa chumba chako hewa ni nzito na haizunguki. Hapo lazima utapna washauri wote wa afya waongo.Nina tatizo nikiamka usiku ninapiga chafya na mafua kunitoka tiba yake ni nini