Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Wakuu habari, nina tatizo la macho, ili niweze kusoma gazeti au kutumia simu ni lazima niweke mbali kidogo ndio nitaweza kusoma, na mara nyengine maandishi yanavurugika siyaoni vizuri, je wadau Kuna lishe yoyote au tiba yoyote asilia kabla sijaingia katika miwani au chemical?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Twende kwa mganga
 
Pole mkuu

Kwangu ni tofauti kidogo.
Nina tatizo la kuona Mbali. Kuna muda maandisha baadhi ya maneno huvurugika, nikitulia bila kuyaangalia kwa sekunde kadhaa nayaona vizuri.
 
Wakuu habari, nina tatizo la macho, ili niweze kusoma gazeti au kutumia simu ni lazima niweke mbali kidogo ndio nitaweza kusoma, na mara nyengine maandishi yanavurugika siyaoni vizuri, je wadau Kuna lishe yoyote au tiba yoyote asilia kabla sijaingia katika miwani au chemical?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Pole mkuu kwa hilo tatizo ;
Dawa ya tatizo lolote la macho hata kama unatumia miwan utapona tu
Chukua vifuu vya nazi osha vizuri kausha vichome moto mpaka viwe vyeusi siyo majivu saga upate unga alafu tumia huo unga mweusi vijiko 2 kwenye maji ya vuguvugu kikombe 1 asubuhi kabla hjala kitu kunywa na jioni ukitaka kulala tumia ndani ya wiki 2....3 lete mrejesho ukipenda
 
Nasumbuliwa na mafua makali chanzo nikitumia kinywaji Cha baridi,maziwa,nyama yenye mafuta mengi na pia nikikutana na mazingira yenye mavumbi pamoja na baridi kali, inanitesa sana, msaada wakuu
Badilisha mfumo wa kula... mfatilie dr boaz mkumbo youtube na insta na fb... unafundishwa kuacha vyakula vya sukari na uwanga kabisaaa na kula vyakula mbadala ambavyo vinavyotokana na wanyama na mboga za majani tu kwa muda wa miezi mitatu.... ukiweza kufanya hivyo utapona maradhi mengi sana ambayo hapo zamani hukuzani km ni maradhi... ikiwemo na kupunguza kitambi na uzito mkubwa
 
Pole mkuu kwa hilo tatizo ;
Dawa ya tatizo lolote la macho hata kama unatumia miwan utapona tu
Chukua vifuu vya nazi osha vizuri kausha vichome moto mpaka viwe vyeusi siyo majivu saga upate unga alafu tumia huo unga mweusi vijiko 2 kwenye maji ya vuguvugu kikombe 1 asubuhi kabla hjala kitu kunywa na jioni ukitaka kulala tumia ndani ya wiki 2....3 lete mrejesho ukipenda
Shukran mkulu, nitafuata maelekezo inshaallah.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Habari za usiku huu, naomba nishare nanyi dawa Moja itokanayo na mmea uitwao leaf of life, sijui kwa kiswahili unaitwaje.
Hili Jani nililifahamu kabla lakini sikuwahi kulitumia, Juzi wife alipata tatizo la kifua alikuwa anakohoa Sana, na pumzi zinabana Sana na akipumua ni Kama mtu mwenye pumu, kumbukumbu ikanijia kuwa huu mmea unasaidia kwa matatizo ya upumuaji na bahati ninao mmea wenyewe, nilichuma Jani Moja akalitafuna na kufyonza maji yake, basi baada ya Kama dakika Tano tu akawa Safi kabisa kifua kimefunguka na akapata usingizi Safi kabisa.
Tuutumie huu mmea nasikia umejaaliwa kuwa sababu ya kuponya maradhi mengi tu.
Tafadhali Kama Kuna anayejua matumizi zaidi ya LEAF OF LIFE ni vyema ayaweke ubaoni hapa ili sote tuelimike.

Mkuu weka picha
 
Kweli kabisa. ni dawa nzuri pia kwa watoto wenye kifua+mafua.

unalipasha moto kidogo then unachuja maji yake anakunywa. Picha google leaf of life au miracle leaf ina maajabu yake pia kwenye mambo ya kiroho
 
Anayejua dawa ya mtu aliyepata ganzi upande mzima wa kulia, tatizo limeamzia kwenye mbavu za kulia ni kama zimefungwa uzi hlf zinavutwaaa kwahiyo mgonjwa anakua anakosa pumzi na hasa akichelewa kula pia maumivu yanakuja hadi kwenye mkono unakua kaa ganzi unauma utadhan umewekewa mto hata akishika kitu tu anaona kama ameshika khaaa la moto! Msaada anayejua dawa tafadhali
 
Nina tatizo nikiamka usiku ninapiga chafya na mafua kunitoka tiba yake ni nini
Yaweza kuwa pia una mzio au allergy ya vitu km vumbi. Mfano sasa chumba chako hewa ni nzito na haizunguki. Hapo lazima utapna washauri wote wa afya waongo.

Anza na hilo, kagua chumba chako mzunguko wa hewa mdani. Nashauri chumba kiwe na dirisha mbili hewa iingie na kutoka. Lakini pia usafi wa chumba na nguo za kulalia.
 
Wajumbe habar za Jumapili.
Naomba mnisaidie Dawa ya kufukuza popo. Wamevamia kwenye kastoo kangu ka kuhifadhia bidhaaa yaaani ni kero. Ni wengi mnoooooooo. Nimejaribu ugoro, Oil chafu, Grease na dawa za Dukan za Fumigation lkn hawakomi. Naomba msaada wenu
 
Habari wanazengo.

Kutokana na kasumba ya maisha na maradhi ya hapa na pale ambayo mengine hayana tiba huko mahospitali hadi tuje kwenye mimea, hivyo naomba tupeane VITABU mbali mbali vinavyo husiana na tiba za mimea kwa mfumo wa PDF.

Viwe vitabu vya kale au vya kisasa ikiwemo tiba za zamani, tukutane kwenye coment🙏🏽.
 
Back
Top Bottom