Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Mi naona waganga wanahamishaga majipu mfano kama lipo kwenye kali.o linaletwa mguuni kisha linakaushwaWatalaamu mi naomba dawa ya kuzuia jipu yani lipotee lisiive, nshatokea jipu nikakamua hospital lakini linarudia tena....hapa leo najisikia tena dalili π₯Ί naombeni kama tiba ipo
BIN NUN Crocodiletooth et al please
Sehemu hiyo hiyo moja hii sasa linarudi kwa mara tanoπ’π’Linarudia hapo hapo au pahali pengine?
Duuuh dawa unaijua au ndio hadi nizame kwa mganga???Mi naona waganga wanahamishaga majipu mfano kama lipo kwenye kali.o linaletwa mguuni kisha linakaushwa
Dawa siijui mama we zama kwa wazee wa kupaa na ungoDuuuh dawa unaijua au ndio hadi nizame kwa mganga???
Nipae nikitua nimeponaπDawa siijui mama we zama kwa wazee wa kupaa na ungo
Pole, hilo sio jipu la kawaida...Sehemu hiyo hiyo moja hii sasa linarudi kwa mara tano[emoji22][emoji22]
Nipe namba inbox nkuelekeze vizuriππNipae nikitua nimeponaπ
Kwanini? Sio kwamba linatokea na kupona nakaa hata mwaka au miaka miwili ndio linarudi tena....nmerogwa niniππPole, hilo sio jipu la kawaida...
πππ Namba tena?? Kama upo serious niandikie tu maelezo mi nipo serious naumwaNipe namba inbox nkuelekeze vizuriππ
Na mganga atakutibu hapa hapa?πππ Namba tena?? Kama upo serious niandikie tu maelezo mi nipo serious naumwa
Pole sana Evelyn Salt. Maelezo yako yanaonesha una mchafuko katika damu ambao husababisha majipu. Hii inatokana na dawa za hospitali unazotumia, vipodozi na vyakula.Watalaamu mi naomba dawa ya kuzuia jipu yani lipotee lisiive, nshatokea jipu nikakamua hospital lakini linarudia tena....hapa leo najisikia tena dalili [emoji3064] naombeni kama tiba ipo
BIN NUN Crocodiletooth et al please
Ahsante sana hicho kitunguu maji kinasaidia nini? Hamna dawa sasa ya kulimaliza? Mbali na hayo maelekezo ya kusafisha damu??Pole sana Evelyn Salt. Maelezo yako yanaonesha una mchafuko katika damu ambao husababisha majipu. Hii inatokana na dawa za hospitali unazotumia, vipodozi na vyakula.
Hivyo unapaswa kufanya yafuatayo:
1) Dawa za hospitali unapotumia uwe unakunywa maji mengi
2) Kuwa makini na vipodozi unavyotumia
3) Usile kabisa vyakula vinavyotengezwa kwa ngano (chapati, mikate, biskuti, nk)
4) Usile na kunywa vyakula vilivyotengenezwa viwandani km juisi, vinywaji baridi, nk
5) Usile vyakula vyote vitokanavyo na wanyama au maziwa
6) Usitumie dawa za kutuliza maumivu, dawa za presha, au sukari
7) Usile chakula baada ya saa 2 usiku.
8) Usile virutubisho
9) Usitumie sukari au glucose
10) Kuwa na mazoea ya kumeza kitunguu saumu usiku wakati wa kulala
11) Katakata kitunguu maji, kiweke kwenye kisahani na ulale nacho chumbani kila siku. NB: Ubadilishe kila siku
Kusafisha damu unatakiwa kuchukua majani ya muarobaini na kuyachemsha vizuri kisha kunywa maji yake kikombe cha chai kutwa mara 2 kwa siku 5.
Nasubiri mrejeshonyuma. Kila la kheri
Ahsante sana hicho kitunguu maji kinasaidia nini? Hamna dawa sasa ya kulimaliza? Mbali na hayo maelekezo ya kusafisha damu??
YpNdio wewe au ni cnp
Ndio mana akaitwa doctor πππ₯ππ½ββοΈMi naona waganga wanahamishaga majipu mfano kama lipo kwenye kali.o linaletwa mguuni kisha linakaushwa
Kaangalie mchafuko wa dam inawezekana n mchafuko wa DamuWatalaamu mi naomba dawa ya kuzuia jipu yani lipotee lisiive, nshatokea jipu nikakamua hospital lakini linarudia tena....hapa leo najisikia tena dalili π₯Ί naombeni kama tiba ipo
BIN NUN Crocodiletooth et al please
Msaada kwa anayejua dawa ya masundosundo/ vipele sugu chini ya kisogo kutokana na kunyoa, hii huathili sana wanaume. Msaada tafadhali
Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
Kuna ile miba inayopatikana mbugani kwa Tabora wanaita mang'ombe chukua mwiba ukatie kwenye sundosundo lako utaona linaanza kupukutika lote[emoji120]Msaada kwa anayejua dawa ya masundosundo/ vipele sugu chini ya kisogo kutokana na kunyoa, hii huathili sana wanaume. Msaada tafadhali
Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
Hata watoto inafaa?AU pia tafuta Kokwa za embe kile kiini chake katakata kianike sehemu yenye jua la wastani kikikauka kisage unga wake changanya na maji moto uwe unakunywa asubuhi na jioni, jenga tu tabia hiyo utakuja hadithia hapa