Pole sana
Evelyn Salt. Maelezo yako yanaonesha una mchafuko katika damu ambao husababisha majipu. Hii inatokana na dawa za hospitali unazotumia, vipodozi na vyakula.
Hivyo unapaswa kufanya yafuatayo:
1) Dawa za hospitali unapotumia uwe unakunywa maji mengi
2) Kuwa makini na vipodozi unavyotumia
3) Usile kabisa vyakula vinavyotengezwa kwa ngano (chapati, mikate, biskuti, nk)
4) Usile na kunywa vyakula vilivyotengenezwa viwandani km juisi, vinywaji baridi, nk
5) Usile vyakula vyote vitokanavyo na wanyama au maziwa
6) Usitumie dawa za kutuliza maumivu, dawa za presha, au sukari
7) Usile chakula baada ya saa 2 usiku.
8) Usile virutubisho
9) Usitumie sukari au glucose
10) Kuwa na mazoea ya kumeza kitunguu saumu usiku wakati wa kulala
11) Katakata kitunguu maji, kiweke kwenye kisahani na ulale nacho chumbani kila siku. NB: Ubadilishe kila siku
Kusafisha damu unatakiwa kuchukua majani ya muarobaini na kuyachemsha vizuri kisha kunywa maji yake kikombe cha chai kutwa mara 2 kwa siku 5.
Nasubiri mrejeshonyuma. Kila la kheri