Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

mkuu hujapata suluhu ya tatizo lako?
 
mkuu kwa mimi mwenye tatizo la mzunguko mbovu wa damu pamoja na damu kuwa nzito sana, je inaweza nisaidia?
 
Ni Lisubata au Misubata!? Kama ni misubata inapatikana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu alitoa matumizi ya unga wa msamitu. Kwa anayekumbuka au mwemyewe muhusika kama yupo akumbushe tafadhali.

Ahsante
 
Na tatizo la sikio kitaalam linaitwa Titanus yaani unakuwa unasikia kelele tu masikioni au ukipita kwenye makelele unakuwa unasikia kero tu na hii dawa ya majani ya bangi inafaa?
 
Na tatizo la sikio kitaalam linaitwa Titanus yaani unakuwa unasikia kelele tu masikioni au ukipita kwenye makelele unakuwa unasikia kero tu na hii dawa ya majani ya bangi inafaa?
Polé mkuu hili tumia mafuta ya kitunguu saum kila ukitaka kulala usku unaweka tone 3 ndani ya siku 4 tu umepona
 
Mbigili ni dawa ya vidonda vya tumbo
 
Polé mkuu hili tumia mafuta ya kitunguu saum kila ukitaka kulala usku unaweka tone 3 ndani ya siku 4 tu umepona
Yaani ni mfumo wa Nerve umekuwa blocked na tatizo lilisababishwa na kuchomwa sindano za quinine hii itasaidia?
 
Ndani ya sekunde 60 nitakuonesha namna gani nilivyoweza kutibu mfumo wangu wa uzazi (Nguvu za kiume na stamina) kwa kutumia virutubisho salama ndani ya wiki moja tu

Bonyeza hii link hapa kupata maelezo yote

[emoji117] https://t.co/3ar4hs5YzA

PS: Hii link haitakuepo baada ya masaa 24
 
utapeli kama utapeli mwingine
 
Ndugu zangu mwenye shida aseme apa tuendelee kuwapa dawa,naona mme poa (kimyaaa) au mmeshapona wote🤷🏽‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…