Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Kaka kwa mujibu wa Google nimeshindwa upata na haujatajwa popote hebu type jina lingine na picha
 
Kwenye maduka ya kisunna inapatikana hii kitu kweli?
 
Mkuu picha namba nne nimeufukua nimekuta mizizi meupe, na pia huo mdogo nimeufukua nimekuta mweupe picha namba tatu, je ni wenyewe
 
Sijaelewa mkuu kwaiyo sio mchunga huo ni Nini, maana kasema ni mchunga na upo majumbani mwetu
Mchunga ni Eruca vesicaria (Arugula)- google hili jina uone picha yake.
Hiyo aliyoweka kama mchunga, sio wenyewe
 
Nina shida ya miguu kuwaka moto sana hasa usiku nishapima diabete sina.Naombeni dawa ya kienyeji tafadhali
 
Mkuu naomba ufafanuzi wa namba 11 pliz sijaelewa
 
Ninamuelewa sana huyu tabibu,km umejenga usikose huu mmea nyumbani kwako.
 
Chai ya karafuu ni nzuri mno kiafya pale itakayokuwa inatumiwa mara kwa mara hufanya ganzi
View attachment 2265838
Asikudanganye mtu,
Suala la kumwaga maji ya baraka lina uhusiano na mambo matatu tu.

1 Kama unafanya mara kwa mara,kasi ya uzalishaji wa manii inapungua na hivyo kiwango cha manii kinakuwa kidogo hali itakayokufanya uchelewe,lkn km unapitisha kipindi kirefu bila kupata sehemu ya kumwaga na usimwage kwa kujichukulia sheria mkononi (goli la mkono) ama usijifunge goli (lile la usingizini) basi ukipata sehemu ya kumwaga dakika 1 tu tayari,sasa kipindi cha pili ndipo utatengeza move ya kupata goli la kuombea mkopo.

2 Mind set (psychology), kama una mawazo yasiyokuwa na tendo la ndoa,hapa dada wa watu ataimba tenzi zooote zitaisha na matokeo bado 0 0.
Itakulazimu kuvuta taswila ya kuwa unamshughulikia Jordin Sparks,Selena Gomez na wengineo ndipo maji ya baraka yaje.

3 Mtindo na mfumo wa maisha pamoja na lishe kiujumla.
 
watu wa iringa wanaita mlangali ni moja kati ya miti yenye Nguvu sana ya kutengeneza Ngao ya kujilinda na Vitu vichafu asa ile midogo ambayo haijazeeka ukipata Fundi wa kutengeneza Ngao akikutengeza kwenye huu mzigo hakuna paka atakayekusogerea na akijaribu safari yake inakua imeiva
 
kuna mti watu wa iringa wanaita Mwisa ikiwa midogo midogo ivi inaota kama vichaka inakua mingi sehemu moja ikiwa mikubwa inakua na mamiba miba Tena ipo mingi sana karibu kila kona ya Tz asa maporini ile ukipata majani yake asa kwenye mwisa mdogo kama unashida ya kichefu chefu kinyaa tumbo kachufuka ovyo ukila chakula kinarudi mdomoni iyo asa Ndio dawa yake ukitumia mara mbili inakataa kabisa ila Babu alitwambia sharti lake uchume na mdomo utafune pale pale na ni vizuri iwe asubuhi mim picha ake sina
 
Kuna mboga inaitwa mnafu kwa mwanamke anayesumbuliwa na Uzazi sio vizuri kabisa kutumia na kuna li mti la kufungulia uzazi kwa wanawake yanaota porini sana Tena kwenye miiba siku nikiwa porini kijini kwetu nitalipiga picha
 
Kwa walioulizia muegeya ndio huu hapa, wengine wanauita Mvunge.
View attachment 2276653View attachment 2276654
Kumbe.
Lisamwa kwa Kijita.
Hilo tunda lake likakatwa vipande vidogovidogo,likachanganywa na maji,likachemshwa kisawasawa linaongeza damu kwa kiwango kikubwa sana ndani ya muda mfupi.

Wajawazito matumizi ya hili tunda lozera haifuati wala kusogelea.
Kwa upungufu wa damu,kata vipande vidogovidogo vya tunda hili lililo komaa,usikate lote maana ni manene sana,kata robo yake tu changanya na maji kiasi cha 5L,kunywa kila mara km mbadala wa maji ya kunywa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…