NAMNA YA KUJUA MKE/MUME/MPENZI KAMA NI MCHAWI.
Kulingana na maombi yenu niwaletee mada kama hii, ni hivi.... Kama nilivyosema kwenye mada iliyopita kwamba wachawi wana madaraja yao ya uchawi:-
Wapo wachawi wa kiwango cha chini, kati na juu. Sasa leo sifafanui madaraja haya bali nitakufundisha jinsi ya kumjua mke wako, mume wako au mpenzi wako kama ni mchawi.
Wengi wameangukia katika majanga kwa sababu sana sana hatufanyi uchunguzi wa kina kuhusu uchawi tunapofanya uamuzi wa kuoa au kuolewa au kuwa kimahusiano na mtu. Mwanaume mmoja amenipigia simu kutoka Kenya analia machozi,akasema ameteseka kwa miaka 28 ya ndoa kwa ajili ya uchawi wa mkewe. Kwa sasa yupo huru. Na huyo mkewe mchawi ameamua kufunga virago vyake na kuondoka baada ya kuumbuka adharani.
Kabla sijakupa mbinu na njia za kumgundua mwenzako kama ni mchawi nataka kwanza nikwambie SIFA KUU za mtu mchawi. Nataja hizi baadhi kama ifuatavyo:-
> Hupenda sana kuvaa nguo za ndani (chupi) rangi nyekundu na nyeusi
> Huwa hawakubali kulala upande wa ukutani hata siku moja
> Mkiwa faragha unamshughulikia (kufanya mapenzi) ni lazima awe anauma meno kuanzia mwanzo wa tendo hadi mwisho. Ni lazima afanye hivyo kwa sababu ni sharti la kichawi na sio hiari yake wala amri yake.
> Huwa lazima awe na chale mbili chini ya uke sehemu iliyo kati ya uke na tundu la haja kubwa (mkundu). Chale hizi ni lazima kwa mwanamke yeyote ambaye ni mchawi, chunguza utaona.
> Huwa hawaruhusiwi kunyoa nywele zote za kwenye uke wao. Ni lazima waache vinywele hata kidogo kwenye kinena na wakikiuka hilo hupata shida na mateso makubwa.
Hizo ni baadhi ya dalili za mchawi unazoweza ona. Mwingine anaweza kujiuliza kwanini kama naongelea sana upande wa wanawake? Ukweli ni kwamba asilimia 90 ya wachawi ni wanawake.
Sasa twende kwenye mada yenyewe. Umekwisha ona dalili zote hizo sasa ufanye nini ili kujiridhisha 100% kuwa sasa mwenzako ni mchawi?
Jaribu kufanya haya yafuatayo kama kipimo cha awali na nina kuhakikishia utapata majibu papo hapo na ukumbuke kupost hapa kilichotokea.
1. Mvizie akiwa usingizini amelala, mpake majivu uliyochanganya na magadi sehemu ya chini ya uke iliyo kati ya uke na tundu la haja kubwa, yaani pale penye chale. Sugua na majivu hayo mara tatu (3). Kitakachotokea utajua mwenyewe umeoa mke wa namna gani.
2. Kama utafanikiwa kuamka mida ya saa nane (8) usiku kipindi yeye amelala au ameenda kuwanga, wewe piga mluzi huku umefumba macho ukiwa umeelekeza kichwa chako juu ya kitanda. Wakati huo hakikisha ni lazima uwe umekaa kitandani. Utaona nini kinatokea
3. Mvizie wakati amelala na mmwagie matone matatu ya maji uliyochanganya na chumvi (ya mawe) utosini mwake. Kitakachotokea tu utajua umeoa au kuolewa na mtu wa namna gani.
Kwa sasa anza na hayo tu na ninaamini utarudi hapa na majibu ya kumshangaza kila mmoja wetu, Huduma kama hii sehemu nyingine wangekutoa hela za kutosha ila kwangu nimekupa bure kabisa.
Kuna watu bado hawataki kuamini, ubishi na ujuaji hautakusaidia kitu. Jaribu kwanza ujionee alafu ndio uje ubishe.