Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
- Thread starter
- #561
Weka bank, ikae kwa siku 7 itoe fanya yako, maana sumu ya pesa za namna hiyo ni kuikojolea tu, lakini huenda pia tatizo likawa juu yenu na biashara yenu.Mkuu @binnun Crocodiletooth
Msaada jinsi gan naweza kuisafisha pesa iliyofungwa isizalishe...yaan iko hiv kuna ndugu yangu anafanya kazi kwa tajiri fulan sema yule tajiri kaifunga hela yake kiasi kwamba hawezi kufanyia biashara yoyote au akifanya ataishia kupata hasara na hela ikamalizika yote..hata akitafuta mtaji sehem nyingine akiweka kwenye biashara akichanganya na ile tu bas inaisha yote
N.B MSHAHARA LAZIMA WAPEWE KWENYE BAHASHA...NA HAWAPEWI SIKU YA JUMATATU