Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Screenshot_20220922-155040.png
Screenshot_20220922-155112.png
 
Ukianika mazao yako mfano mpunga,mahindi,nk ukihisi wapumbavu watachota kupitia kiini macho, chukua ndulele turatura tupia katikati kwenye mazao.

Weka ndulele, au ndimu, au mkaa katika drop ya pesa zako dukani ni kinga dhidi ya wapumbavu pesa zako zitakuwa salama.
Mkaa na ndulele nilishaweka sana na bado nikaendelea kuibiwa
 
At least umenena kiasi maana ni kitabu kwelikweli jinsi nilivyokiomba Kwa bidii toka uturuki, nathubutu kusema hiki kitabu ni mwisho wa matatizo!kukigawa naona kama mtu anataka kunikata kichwa.utafika ngapi? Taja mwenyewe?
Mkuu hiki kitab kwel unacho?
 
Ni bora utoe kitabu mtu akapambane mwenyewe
Man thanks sana kuna wana sio wana wakizeeka watakuwa wachawi walikuwa wanalinga na kutabu hiki hata tuliposema tuwape dau wakawa wanazingua...!
Mungu akurehemu na kukuzidishia baraka tele maishan mwako.....!!
Kwa niaba ya wadau wote tuliokuwa na uhitaji wa kitabu hiki na ambao tulikuwa tayar kutoa pesa nasema ASANTE SANA...!!
MAFANIKIO MAKUU YA MWANADAMU NI PALE UNAPOFANIKISHA WANADAMU WENGINE KUFANIKIWA by amleviJR
 
Asante sana Kiongozi... Mungu atubariki sote
 
Back
Top Bottom