Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Ndugu naombeni tiba kwa tatizo la kuoga maji baadae unaanza kuwashwa. Haijalishi uoge maji ya baridi au ya moto, yawe ya chumvi au yasiyo ya chumvi na mikoa tofauti lakini kuwashwa ni pale pale.
NB: Allergy ya ngozi mtu hana
Waungwana sijapata mrejesho kwa hili suala
 
ABRACADABRA
IMG_20221012_111605.jpg
 
Mkuu unapatikana wapi?
nahitaji kumiliki jini la Utambuzi
Aisee m sio mshirikina kijana na situmii ayo mambo yko unoyataka nilimkataa jamaa humu ndani kwasababu ya mambo kama haya na wengi wenu mnapenda awasaidie matatizo yenu ila mimi nimemkataa kabisaaa

Ushirikina ndio dhambi kubwa mbele ya Allah

Maisha mafupi sana haya uyo
 
Kwani uki mjibu mtu kwa ustaarabu tu kuwa huna hiyo taaluma uta pungikiwa Kilo?
 
Nahisi maumivu ya tumbo na gesi upande wa chini wa korodani ya kushoto kama inavuta Baada ya muda maumivu yana toweka lakini wakati mwengine napata hali ya kuharisha .nilifanya kipimo mara ya mwisho Nika onekana na ulcers. Sielewi hii ishu inatokea Mara mbili Sasa na kutoweka
Msaada jamani nateseka sana na hii hali..Kama anajua dawa anieleze
 
Aje wanatiba
Nina ttizo la ngoz kubadilika kuwa nyeusi kuna kipind ilibadilika nakuwa nyeusi badaye ikarud kuwa ya kawaida ila kwa sasa n kama miaka miwil hiv nmetumia dawa za bakteria na fungus lakin tatizo bado lipo...!!
Mwenye ujuz wa dawa ya hosptal au kienyej anijuze..!
 
images (15).jpeg

jinsi ya kumjua mwanamke au mwanaume aliyewekewa tego la kiganga na mpenzi wake hili asichepuke.

KWAKUTUMIA JANI LA MGOMBA.

Tumefundisha dawa nyingi za mapenzi,zikiwemo dawa za mtu kumfunga mpenzi wake wa kike ama wa kiume hili asiweze kuchepuka.

Wengine huwafunga wapenzi wao hili kama unafanya nae mapenzi upatwe na ugonjwa wa ajabu,tupu zinasane na mambo mengine mengi.
Sasa ukitaka kujua kama mtu uliyenaye amefungwa kiganga/kichawi fanya yafuatayo.
-chuma jani la mwisho kabisa kwenye kilele cha mgomba
-Jani hilo litie kwenye uvungu wa kitanda alichokaa au kulala

Matokeo.
1.ukilitia tu jani uvunguni na likasinyaa hapohapo ujue huyo hafai na atakusababishia majuto.

2.kama jani litakuwa vilevile basi ujue yuko salama endelea kuenjoy.
 
"Historia ya Binadam imetokana na mnyama, ulikuwa zamani unakaa misituni huko unakula mimea na mizizi hayo madawa ambayo yana chemical futilia mbali.

BURE kabisa, "dawa ya UTI nakupa warranteee!!! wa miaka 7 bila UTI nyumbani mwako

Chukua majani ya mchungwa vikombe 4, yaoshe yachemshe na mizizi yake au magombe jikoni

Tenga mezani kikombe kimoja tia kijiko kimoja cha chapa maandazi kunywa vikombe 4 kwa siku

Hutaenda kununua hizo dawa za UTI najua wapo wanaouza dawa za UTI BUT hizi mimea ni haki yako mtu mweusi kuijua ndio asili yako na sisi wasomi Elimu yako itoe tija kwa watu weusi wenye vichwa vigumu kuamini Mzungu ni BORA.
 
Shukrani sana mkuu kwa share nasi. Ila naomba hebu boresha yafuatayo:
1. Kikombe size /ukubwa gani? e.g. kikombe cha chai, kahawa au robo lita (mls (250)
2. Mizizi au magome ya mti wa mchungwa kiasi gani ?
3. Maji yawe kiasi gani na Unachemsha kwa muda gani?
4. Unatenga mezani kikombe kimoja kutoka katika mchemsho wate au mchemsho wote (Majani na mizizi) utakuwa umebaki kikombe kimoja?Kijiko kimoja cha chapa maandazi .. Hiyo chapa maandazi ni Bi carbonate au hamira ile ya kukaangia maandazi chapa simba)
5. Mtu (mtoto,mtu mzima au..)anywe vikombe 4 kwa siku kwa siku ngapi?
 
"Historia ya Binadam imetokana na mnyama, ulikuwa zamani unakaa misituni huko unakula mimea na mizizi hayo madawa ambayo yana chemical futilia mbali.

BURE kabisa, "dawa ya UTI nakupa warranteee!!! wa miaka 7 bila UTI nyumbani mwako

Chukua majani ya mchungwa vikombe 4, yaoshe yachemshe na mizizi yake au magombe jikoni

Tenga mezani kikombe kimoja tia kijiko kimoja cha chapa maandazi kunywa vikombe 4 kwa siku

Hutaenda kununua hizo dawa za UTI najua wapo wanaouza dawa za UTI BUT hizi mimea ni haki yako mtu mweusi kuijua ndio asili yako na sisi wasomi Elimu yako itoe tija kwa watu weusi wenye vichwa vigumu kuamini Mzungu ni BORA.
Mkuu mchungwa na limao ni kama jamii moja,je majani ya mlimao yanafaa?
 
Naombeni msaada mi ni muanga wa punyeto na picha za utupu nmezamilia kuacha nahitaji msaada kutibu shida ya uume mdogo na kuwai kumwaga dawa za asili nina miaka kumi sasa toka nianze nyeto nikiwa form2 uboyzn
Cha kwanza tafuta mpenz wa kudumu na pili usikae peke yako kwenye mazingira ya sir muda mrefu na pili tafuta kijiwe au kampan ya kudumu na ikiwezekana focus sana kwenye kutafuta kipato
 
Back
Top Bottom