Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Kijiko kimoja cha karafuu ya unga kwenye gras ya maziwa ni tiba ya magonjwa haya waweza ongeza na turmeric kidogo kwa tiba bora zaidi.

[emoji818]Tiba ya uzazi (ugumba)
[emoji818]Tiba ya homon kuto kuwa sawa
[emoji818]Tiba ya moyo
[emoji818]Tiba ya tumbo
[emoji818]Tiba ya ini
[emoji818]Tiba ya mapafu
[emoji818]Tiba ya pumu
[emoji818]Tiba ya mafua
[emoji818]Tiba ya kikohozi sugu
[emoji818]Tiba ya pua zilizo ziba
[emoji818]Tiba y kukosa kumbukumbu na kuto kuelewa
[emoji818]Tiba ya ges tumbon na utumbo
[emoji818]Tiba ya udhaifu wa misir
[emoji818]Tiba ya upongufu wa.madini
[emoji818]Tiba ya kibofu cha mkojo na mkojo kutoka bila ya hiyar
[emoji818]Tiba ya meno na fidhi (pia ni kinga)
[emoji818]Tiba ya macho (maono hafifu)
[emoji818]Tiba ya chunus
[emoji818]Tiba ya uvimbe wa ngozi na kumwa na mdudu
[emoji818]Tiba ya kudhibiti kiwango cha sukar ya damu na kudumisha viwango vyake
[emoji818]Tiba ya kuongeza ute kwenye maungio ya mifupa
[emoji818]kinga dhidi ya saratan
[emoji818]Tba ya baridi bronchitis Koo iliyo na dawa ya kulevya na tonsillitis
[emoji818]Tiba ya hemorrhoids na analitis
Nitumie kila siku?
 
Ndugu zangu nnashida imeanza juzi tu ila adi Leo ni siku ya 4 napata maumivu makali kwenye njia ya mkojo naumia sana sijui namaliza vipi tatizo hili naombeni msaada kwa anayejua dawa ya tatizo hili.
Kaka crocodiletooth swali hili naombeni
 
NI maziwa fresh mkuu, utachemsha na maganda yake lakini wakati wa kula utayamenyea mezani ndio ulikuwa utaratibu wa babu zetu. In fact duniani kote kuna Vita ya kuupinga uzee au tuseme binadamu anapigana ili kuaona aweze kuishi zaidi lakini katika afya yake nzuri huku mwili ukijirepea kwa kutumia vyakula vyetu vya kienyeji, karafuu imeonyesha uwezo mkubwa wa kushindana na hali hii kwa mfano Unga wa karafuu utakapouchanganya na mafuta asili ya nazi ukatumia kujipaka utashuhudia shikamoo zikipungua, handiness ya kidevu sugu kwa kunyoa ndevu itaondoka infact utastaajabu sana let practise in it.
Hii inaweza kuzuia vipele ndevu kwenye uvungu wa kidevu?
 
Back
Top Bottom