Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Mtu ambaye aliyewahi kutumia kitabu kinaitwa Šams al-Ma'arif

Anaweza kunielezea kidogo juu ya hicho kitabu
 
Naombeni dawa ya mtu kuacha kukoroma wakuu,mke wangu anakoroma hadi usingizi sipati,iwe kifupi fupi ubavu vyote atakavyo lala lazima akorome
Mkeo anauzito kiasi gani? hakikisha hakuli vyakula vizito usiku! Na asichoke sana mchana...pole
 
Mkuu sio kila mimea na tiba tunazopata majumbani zinapatikana from nowhere, hvyo vitabu ndio vinatupatia maelekezo juu ya nini chakufanya note that Bro!!
Nakushauri anzisha uzi wa vitabu na uchambuzi wa Vitabu vya tiba au uzi wa Uchawi. Lakini sio mnaleta mada ndani ya mada ya mtu mwingine. Kujadili vitabu sio lengo la mleta thread. Thread inahusu mimea tiba sio Vitabu vya tiba. Tujikite kwenye mada.
 
Sawa Mkuu!!
 
Kwa maelezo yake anasema anapata maumivu kama tumbo la period, mwenye kujua tiba mbadala tafadhari.
 
Back
Top Bottom