Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

Naomba kufahamu Dawa ya mende kwenye nyumba, nimetumia hizi dawa za buku buku lakini sipati matokeo chanya
 
Uwa naukubali sana MWAROBAINI yaani juzi kati nilikula wapi sijui sasa jana nikaamka NAENDESHA vibaya sanaa nikajisemea acha nitafte Mwarobaini leo nikaupata nikabugia majani yake ata dakika hazikupita tumbo limeacha kuchafuka na SIENDESHI TENAA sasa kama unaharisha wewe tafuta MWA40 NI KIBOKO ya matatizo
 
Tumia mchai chai majani yake na mizizi yake, chemsa kunywa 1X3 siku 21 utapona.
Usisahau kuleta mrejesho APA🙏
Nashukuru mkuu,vipi ikiwa imeshapanda hadi kwenye figo?,
Mgonjwa anapata maumivu upande wa figo,akipima anaambiwa yuko sawa ila uti anameza dawa haponi.
Dawa ni hiyohiyo?
 
Back
Top Bottom