AccomplishedEntrepreneur
JF-Expert Member
- Feb 25, 2020
- 507
- 878
Hata mimi ameniacha hapo kwenye "LIMAO ILIYOKAUSHWA" ipoje hii?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo ni hiyo ya unga.Limao ilokaushwa ndo hii ndimu ya unga
Shukrani Mkuu
Fanya usafi ndani mende wanapenda sehemu chafuNaomba kufahamu Dawa ya mende kwenye nyumba, nimetumia hizi dawa za buku buku lakini sipati matokeo chanya
Tumia majani ya msterfeli kwenye chai kikombe kimoja asubuhi, mchana na jioniSalama wakuu, Mwenye kujua dawa ya kutibu tatizo la miguu kufa ganzi kwa mwanamke aliyejifungua tafadhali.
Tumia majan ya mchai chaiDawa ya mbu? Jamani.
Mbona unaandika kama unakimbizwa mkuu? hayo majani tunajipaka ? tunatafuna au?Tumia majan ya mchai chai
Mbona unaandika kama unakimbizwa mkuu? hayo majani tunajipaka ? tunatafuna au?
Shukran sana mkuuTumia majani ya msterfeli kwenye chai kikombe kimoja asubuhi, mchana na jioni
Tumia mchai chai majani yake na mizizi yake, chemsa kunywa 1X3 siku 21 utapona.Wakuu hivi kuna dawa ya uti sugu?
Yaani unajitibu inarudi baada ya muda,inakua na fangasi pia.
Nashukuru mkuu,vipi ikiwa imeshapanda hadi kwenye figo?,Tumia mchai chai majani yake na mizizi yake, chemsa kunywa 1X3 siku 21 utapona.
Usisahau kuleta mrejesho APA🙏