Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 6,432
- 25,646
Mideko kumbe ni muislamu wewe? Sasa mbona Mimi nilitaka nikupeleke church kukuoa my lady?Surat Al israai
32.Wala msikaribie uzinzi. Hakika huo ni uchafu na njia mbaya.
Halafu ndio ushachelewa sasaMideko kumbe ni muislamu wewe? Sasa mbona Mimi nikitaka nikupeleke church kukuoa my lady?
Pole yanguπHalafu ndio ushachelewa sasa
Hii Ina uzushi fulani na ria yake iliyochangamka