Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa, umma siku hiz umekuwa ni wenye kupotea sana kwa haya mambo ya kumfuata SheikhAkifanya Shekhe au mtu yeyote sio kigezo cha usahihi wa jambo kuwa mbona fulani anafanya bali usahihi ni lilolothibiti kwa dalili.View attachment 2549526
Na wakati huo wanafahamu fika kifo kinawanyemelea, masikitiko
Nimeipenda hii, ngoja siku moja nikijaaliwa nafasi niige mtaani kwetu huku, maana vijana kamari inazidi kutuangamiza
[emoji173]
Wainallilah.....Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un
Verily we belong to Allah and verily to him do we return
𝑺𝒂𝒘𝒂 𝒔𝒉𝒆𝒊𝒌𝒉Wainallilah.....
Wewe sasa ndio umekosea.Wainallilah.....