Fene JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 2,824 Reaction score 4,447 Jul 28, 2022 #101 Sent using Jamii Forums mobile app
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 11,050 Reaction score 31,412 Jul 28, 2022 #106 Sio Muislamu mimi lakini napenda sana ile sijui ni sala, au ni dua au ni sura inayosema bismillahi rrahmani rrahim , pia sijui kama nimeandika kwa usahihi.
Sio Muislamu mimi lakini napenda sana ile sijui ni sala, au ni dua au ni sura inayosema bismillahi rrahmani rrahim , pia sijui kama nimeandika kwa usahihi.
Midekoo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 45,757 Reaction score 246,786 Jul 28, 2022 #110 Enyi mlio amini! Takeni msaada kwa subira na Sala. Hakika Mwenyezi Mungu yu pamoja na wanao subiri
Fene JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 2,824 Reaction score 4,447 Jul 28, 2022 #111 Na tuwatendee wema wazazi wawili Sent using Jamii Forums mobile app
Fene JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 2,824 Reaction score 4,447 Jul 28, 2022 #112 Allah loves Sent using Jamii Forums mobile app
Midekoo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2015 Posts 45,757 Reaction score 246,786 Jul 28, 2022 #115 Enyi mlio amini! Ingieni katika Uislamu kwa ukamilifu, wala msifuate nyayo za She'tani; hakika yeye kwenu ni adui aliye wazi
Enyi mlio amini! Ingieni katika Uislamu kwa ukamilifu, wala msifuate nyayo za She'tani; hakika yeye kwenu ni adui aliye wazi
Fene JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 2,824 Reaction score 4,447 Jul 28, 2022 #116 Feel proud for being Muslim Sent using Jamii Forums mobile app