Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii biashara inahitaji mtaji kiasi gani mkuu?Huu ni uzi wa wenye maduka ya spare za pikipiki jumla na rejareja,tupeane connections,uzoefu,changamoto Na faida ya biashara hii. karibuni kwa mdaharo
Maduka ya spea Kwa kariakoo lipi ni zuri Kwa Bei chipkwa kuanzia milioni moja inatosha ila lazima fundi awepo na location nZuri kwa ajiri ya kufanyia biashara hii,yaani eneo liwe limechangamka
DarUko wap mkuu nikupe connections za spare hy eneo ulipo
Yueao imekaaje Bei zake.Me nipo mkoani but maduka yote dar yenye wateja wa jumla mikoani hayatofautiani sana bei utofauti wa bei upo ktk makampuni rps,sll,yueao,bufu,kuda etc
Mkuu huo ni mkoa gani?Kwa mm huku mkoani nauza shock absorber za nyuma alfu 43000 na battery ni alfu 32000 kwa rejareja mana duka langu ni
Pikipiki mkuu, nipo TANGA, nimetafuta hizo spare kwa huku nimekosaKinglion pikipiki au bajaji??? Na uko mkoa gani