Uzi maalumu wa wenye maduka ya spare za pikipiki nchini

kwa kuanzia milioni moja inatosha ila lazima fundi awepo na location nZuri kwa ajiri ya kufanyia biashara hii,yaani eneo liwe limechangamka
Dah hapa ndugu mbona itakuwa ngumu kumeza! Hiyo bajet ndogo sana walau hata 2M maana mm kama mzoefu ikiwa upo kwenye maeneo yenye pikpik aina tofaut Yan hizi za kichina na India. Bado hapo hujaweka tairi(zisipend maana zinachukua pesa nyingi), Bado hapo compressor ya upepo. Aseeh nadhan hiyo bajet yako ni ngumu kumeza.
 
Mkuu biashara ya spare za pikipiki inahtaj mtaji was kutosha lakn tusiwakatishe tamaa wengn yaani ni hivi kama uko serious na biashara hii mtaji was m1 unatosha sana cha kufanya mfanya biashara aelewe vtu n vinauzika haraka usihemee bit kama tyre,ream, seat,etc Bali hemea vitu kama chain kit,oil,cables namaanisha clutch, acc,speed, rpm,tubes,gaskets, ring pistons,tapet,can shaft nk mdogo mdogo mtaji utakua utaanza kuleta vile ambavyo ulikuwa huvileti,

Hapana simkatishi tamaa mtu na ndiyo maana mm kwa mawazo yangu nikasema at least 2M ila kwa kuanzia na 1M Moja kihaulisia ni changamoto sana ndugu. Kumbuka kuna Kodi ya pango hapo, kutengeneza mazingira ya ofisi lakin pia ni vizur fundi akija akukute tool box yako ya vifaa Iko pale. Sasa Mzee kihaulisia hiyo Moja itacover kila kitu vifaa mpaka maandalizi ya ofisi?
 
Ahaa nimekupata me kwa upande wangu nilikuwq nachukulia hiyo 1m ya kuhemelea tu nje kabisa na kuandaa ofsi .mkuu upon mkoa gn na una duka LA spare???
 
Ila kingine kwa wenye nia ya dhati ya kupiga hatua kupitia hii biashara na wana mitaji kuanzia 1M-5M ni vizur kufungua ofisi pemben mwa mji. Hii itasaidia kukuza mitaji mapema na walau faida utaiona, Changamoto ukiwa katikati ya mji, Mfano labda tairi magomeni tairi 50k ila k/koo hiyo hiyo tairi ni 48k kwahyo mmiliki wa pikipiki lazima atakwenda tu k/koo coz sio mbali ila mtu hawezi kutoka kibaha kwenda k/koo kisa buku 2. Nimejaribu kuweka Mfano tu.
 
Kwa kweli umenena! Makini sana!!!!
 
Mkuu biashara ya spare za pikipiki inahtaj mtaji was kutosha lakn tusiwakatishe tamaa wengn yaani ni hivi kama uko serious na biashara hii mtaji was m1 unatosha sana cha kufanya mfanya biashara aelewe vtu n vinauzika haraka usihemee bit kama tyre,ream, seat,etc Bali hemea vitu kama chain kit,oil,cables namaanisha clutch, acc,speed, rpm,tubes,gaskets, ring pistons,tapet,can shaft nk mdogo mdogo mtaji utakua utaanza kuleta vile ambavyo ulikuwa huvileti,
Kwenye hii biashara kuna vitu ambavyo vinaingia kwenye pikipiki zote
Au ndio unanunua kila kifaa kwa kila aina ya pikipiki
 
Ahaa poa ko unapata spare kutoka Dodoma mjini au dar es salaam?? VP unafuu was bei
Gharama ya spare kwa DODOMA na Dar kwa bei ya jumla naweza kusema baadhi ya spare bei zinafanana tu. Iko hivi nimefanya tafit kwamba wale wafanyabiashara wakubwa hapa DODOMA wakienda kwa Yale makampuni makubwa Mfano Sll, Uk, winner nk bei wanazouziwa ni nafuu sana tofaut bei utakazouzowa wewe au mm pia nikienda direct kwao coz wao wanachukua mizigo mikubwa mno. Hivyo basi hupelekea bei za jumla k/koo na dom kufanana sana. Sasa basi mm Huwa naamua tu kuchukua hapa hapa Dom.
 
Kwenye hii biashara kuna vitu ambavyo vinaingia kwenye pikipiki zote
Au ndio unanunua kila kifaa kwa kila aina ya pikipiki
Iko hivi kuna pikipiki za kichina(fekon, sun LG, sunny nk) na India (tvs na boxer). Sasa hapa unakuta boxer ana vifaa vyake, tvs ana vya kwake ila tu hizo pikpik za kichina ndo zinaingilina vifaa ingawa Sasa baadhi ya matolea ya mapya ya hizi pikipiki za kichina Mfano houjue, kinglion ,sinoray na wao Sasa wamekuja na vifaa vyao ambavyo haviingiliani baina ya hizo pikpik za kichina. Kwahiyo mm Huwa naona nafuu uwe sehemu ambayo kuna aina chache za pikipiki, Hivyo ukiwa kwenye eneo ambapo kila aina ya pikipiki ipo hiyo inapelekea mtu uanze ma wewe kibabe dukani
 
Gharama ya spare kwa DODOMA na Dar kwa bei ya jumla naweza kusema baadhi ya spare bei zinafanana tu. Iko hivi nimefanya tafit kwamba wale wafanyabiashara wakubwa hapa DODOMA wakienda kwa Yale makampuni makubwa Mfano Sll, Uk, winner nk bei wanazouziwa ni nafuu sana tofaut bei utakazouzowa wewe au mm pia nikienda direct kwao coz wao wanachukua mizigo mikubwa mno. Hivyo basi hupelekea bei za jumla k/koo na dom kufanana sana. Sasa basi mm Huwa naamua tu kuchukua hapa hapa Dom.
Kweli mkuu mm mwenyewe nilijaribu kuulizia bei za dar na tabora mjini kwa kweli nilishangaa kwa lengo kuwa niwe nahemelea dar,utofauti wa bei ni ndg sana mfano brake shoes dar ni 2200 tabora ni 2400utofaut ni 300 nikaona bora niwe naishia tbr tu
 
Kwenye hii biashara kuna vitu ambavyo vinaingia kwenye pikipiki zote
Au ndio unanunua kila kifaa kwa kila aina ya pikipiki
Spare za pkpk aina ya sanlg zinaingiliana na pkpk nying na vichache haviingiliani,kama una mtaji mdg inatakiwa kubase na sanlg alafu MTU akija anahtaj spare tofaut na ulizonazo unamwagizia,base kwenye spare zenye watumiaj weng was pkpk
 
Kweli mkuu mm mwenyewe nilijaribu kuulizia bei za dar na tabora mjini kwa kweli nilishangaa kwa lengo kuwa niwe nahemelea dar,utofauti wa bei ni ndg sana mfano brake shoes dar ni 2200 tabora ni 2400utofaut ni 300 nikaona bora niwe naishia tbr tu
Umeona eeehe! Sasa kuna wakat nilijaribu kuongea nao wale kampuni ya sinoray khs breakshoe ilikuwa mwaka wa jana kama sikosei, Wakaniambia kuwa wataniuzia kwa bei ya tsh 1900 kama sikosei Tena nichukue box 10 na kumbuka box Moja zinakaa 100. Hivyo basi box 1 ni tsh 190,000 na kwa box 10 ni tsh 1,900,000. Sasa hapo sisi ndo wale wa 1M-5M inakuwa ngumu kwahyo Bora nichukulie tu hapa kwa bei ya labda 2100-2200
 
Back
Top Bottom