Uzi maalumu wa wenye maduka ya spare za pikipiki nchini

Uzi maalumu wa wenye maduka ya spare za pikipiki nchini

Umeona eeehe! Sasa kuna wakat nilijaribu kuongea nao wale kampuni ya sinoray khs breakshoe ilikuwa mwaka wa jana kama sikosei, Wakaniambia kuwa wataniuzia kwa bei ya tsh 1900 kama sikosei Tena nichukue box 10 na kumbuka box Moja zinakaa 100. Hivyo basi box 1 ni tsh 190,000 na kwa box 10 ni tsh 1,900,000. Sasa hapo sisi ndo wale wa 1M-5M inakuwa ngumu kwahyo Bora nichukulie tu hapa kwa bei ya labda 2100-2200
Chief naomba msaada wa namba zao
 
Elfu 17 bei ya jumla
 

Attachments

  • 20240722_093422.jpg
    20240722_093422.jpg
    284.1 KB · Views: 25
2500 bei ya jumla. Duka liko kariakoo karibuni
 

Attachments

  • Screenshot_20240722-091918_Gallery.jpg
    Screenshot_20240722-091918_Gallery.jpg
    1.2 MB · Views: 25
nitapata wapi stearing ya bajaj ya abiria piagio ? na ni sh.ngp wakuu
 
Back
Top Bottom