Umeona eeehe! Sasa kuna wakat nilijaribu kuongea nao wale kampuni ya sinoray khs breakshoe ilikuwa mwaka wa jana kama sikosei, Wakaniambia kuwa wataniuzia kwa bei ya tsh 1900 kama sikosei Tena nichukue box 10 na kumbuka box Moja zinakaa 100. Hivyo basi box 1 ni tsh 190,000 na kwa box 10 ni tsh 1,900,000. Sasa hapo sisi ndo wale wa 1M-5M inakuwa ngumu kwahyo Bora nichukulie tu hapa kwa bei ya labda 2100-2200