sema kweli???Niko hapa kuwaangalia napendaga sura ngumu mm
ukiwa na hela hata ukiwa na kichwa kama madenge utaitwa handsome!Mpenzi wangu ananiita handsome, je wewe ni nani useme mimi si handsome.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado hujapata tu hata sura moja yaku nyamazishia mtoto!?
Ni aibu kwa mwanaume kuiga kwa binti aina ya bandiko.
Sura ngumu ndo uanaumeMwanaume anapaswa kuwa na sura ngumu. Awe na sura ya kuvutia ili iweje?
Mkuu unanisema maana hivo ndo nilivyo na huu mchogoUnakua na sura ngumu sura Fodendo sura koulibaly au unaongezea na mchogo kama wangu mimi *****!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapo sawa sas. Uzi haujakupita bure[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 952035
Kuna wengine wanasura za Mama zaoSasa kuna mwanaume hana sura ya kiume
Ila bado ni wanaumeKuna wengine wanasura za Mama zao
Ni wanaume ila hawana sura za kiumeIla bado ni wanaume
Wenye sura laini wanakoment wapi????
Sasa wakwetu upo wap dada shemejiKaka shemeji.wewe huu uzi haukuhusu.
Ngoja wa kwenu utafunguliwa baadae.Sasa wakwetu upo wap dada shemeji
Sawa dada shemeji. UmemisikaNgoja wa kwenu utafunguliwa baadae.