[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hapo sawa sas. Uzi haujakupita bure
Me nlikuw kiranja wa chakula(Bwalo) nkisimama pale mbele waliokaa pemben wanarud kwny mstari, na nlikuw mrefu japo sikuw na nyamaEnzi zangu nikiwa monitor (primary school) nilikuwa nikisikia madarasa ya jirani kuna kelele nilikuwa naingia na kuwatazama wanafunzi wote kisha wananyamaza moja kwa moja!
Kweli bwana mwanaume unatakiwa uwe na sura ngumu sura ya kiume
Acha utani bwana! Hebu sema lolote kuhusu sura ya Benny Kinyaiya. Je ni ya kiume??Sasa kuna mwanaume hana sura ya kiume
Haya hii ni sura ya kiume??Acha utani bwana! Hebu sema lolote kuhusu sura ya Benny Kinyaiya. Je ni ya kiume??
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu unaogopa kupigwa ubro-listHiyo Kaka isizid sana sasa, tusije tukamaanisha![emoji12]
Hahaha kuwekwa ubrozone au ufriendzone vinapunguza gia zote kabsa za kuingia[emoji23][emoji23] kweli mkuu, inapunguza nguvu ya Gia za kuingilia
MhKama mimi!
Kweli bwanasema kweli???