ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 16,993
- 65,237
Huhuhuhu ni kwel kasmart sifa yenu lazima mpewe ila wewe sidhani kama zinakuhusu hiziNakuona shiro,asante kwa kutusifia
btw nmekumiss
I miss you too
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huhuhuhu ni kwel kasmart sifa yenu lazima mpewe ila wewe sidhani kama zinakuhusu hiziNakuona shiro,asante kwa kutusifia
btw nmekumiss
Ebu acha kunibania jamani mwambie hata mke wa pili nipo tayari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaka angu kaoa tayari shoo[emoji23][emoji23]
Hahaha masihara hayo shiroHuhuhuhu ni kwel kasmart sifa yenu lazima mpewe ila wewe sidhani kama zinakuhusu hizi
I miss you too
niko hapaMwanaume anapaswa kuwa na sura ngumu. Awe na sura ya kuvutia ili iweje?
Niko hapa kuwaangalia napendaga sura ngumu mm
HahahahUkiona sura yangu lazima ukaotee,
Natisha zaidi ya Nsukaa
Hahahaha daah ila nyie mungu anawaonaNapenda wanaume wenye sura ngumu jamani..uwe mwanaume mrefu kifua kipana hivi ..unanikaza nakazika wallah nitakuibia passport size zote
KwannHahahaha daah ila nyie mungu anawaona
Mnafetua kitu amazingWanaume wenye sura private hapana jamani. Mimi mbaya nipate na mwanaume mbaya No No No...
Acha kabisa na tunajua kuhonga, ndo defense mechanism yetu. Tuwe na sura ngumu hata kuhonga pia tuwe wagumu aahaaah
Mwanaume Ukiwa na sura ngumu na huna hela utaona ka unamkosiKwann
Ila uwe na sura ngumu basi hata visent uwe navyoMwanaume Ukiwa na sura ngumu na huna hela utaona ka unamkosi
Na misemo yenu "pesa mbele sura tutavumiliana"
Mnafetua kitu amazing
Ewaaa hii ndo sura personal[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 952035
Wanaume wenye sura private hapana jamani. Mimi mbaya nipate na mwanaume mbaya No No No...
Sura private ndo zikoje Mzigua?
Aaah wapiii... !!¡!
Hahahahaaaaa... [emoji23]Hii sura kazi kweli???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ww Hb kabisa