Uzi special: Mtongoze hapa ki-utu uzima mkamalizane live

Wewe mdogo wangu kabisa
Kwani tupo kwenye mashindano ya umri!? [emoji23] Si kwichi kwichi wajameni..

Sasa wee upate mzee mwenzio si mtapeana tabu, njoo kwangu bibie.. [emoji8] Gari bovu huvutwa na zima bibie.....
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kwani tupo kwenye mashindano ya umri!? [emoji23] Si kwichi kwichi wajameni..

Sasa wee upate mzee mwenzio si mtapeana tabu, njoo kwangu bibie.. [emoji8] Gari bovu huvutwa na zima bibie.....

Hapana mzee mwenzangu tunapeana kwa afya
 
Mi nitajuaje kama kaz anaiweza,tusidanganyane hapa hatufahamiani kabisa
weeee, wengine sisi tunajiuliza kama nyie wanawake ndo mtakuwa mnaweza shughuli? maana wasichana wa siku hizi wengi hamna jambo mnaboa tu, tunawafurahisha tu nyie mpaka tunachoka na kuboreka hamjui mambooo
 
Kwani tupo kwenye mashindano ya umri!? [emoji23] Si kwichi kwichi wajameni..

Sasa wee upate mzee mwenzio si mtapeana tabu, njoo kwangu bibie.. [emoji8] Gari bovu huvutwa na zima bibie.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom