Uzi wa kero ya kuombwa kolabo mara kwa mara huku mambo muhimu yanakusubiri

Uzi wa kero ya kuombwa kolabo mara kwa mara huku mambo muhimu yanakusubiri

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
Katika mapenzi kuna mambo mengi ndo mana unatakiwa kuwaheshimu wanandoa waliozeeka pamoja mana mambo ni mengi muda hautoshi.

Kwenye ndoa kuna ule muda mmeshapiga kolabo tayari sasa unataka kufanya mambo yako mengine tena mambo muhimu ambayo lazima ufanye au umechoka sana unataka kulala ile umeanza tu mwenzako anakwambia naomba tena kolabo wakati huo huna mood wala hutaki, mnavutana unajikutana umepiga tena na huku mambo yako mengine yanaharibika.

Unalala haijapita nusu saa unaombwa tena na kesho asubuhi unatakiwa kuwahi mahali au kazini. Je mahusiano kama haya utayaweza? Je utaishije katika changamoto kama hii?

images (5).jpeg
 
Hivi mwanaume unachoka choka vipi.. mbon naona haiwezkan?? Au kias ch nguv z kiume tunatofautiana
 
Hivi mwanaume unachoka choka vipi.. mbon naona haiwezkan?? Au kias ch nguv z kiume tunatofautiana
Sio kukosa nguvu inatokea pale kuna mambo mengi yanakusubiri au ulitaka kupumzika, inawezekana kushiriki masaa 12 pasipo kulala?
 
Back
Top Bottom