Nzuri Mkuu habari yawwHabari yako Bwana Majani?
Nzuri Kabisa.. Bwn Majan Kwanza Kabisa kwanini ukajiita MajanNzuri Mkuu habari yaww
Haha ilo jina sijajipa mkuu nimepewa nawanafunzi wenzangu kipindi nipo Darasa lapili kuna siku nilishindwa kusoma Neno JAMAN minikawa nasoma MAJAN nilitudia karibu Mara 4 bado nilikua nasoma MAJAN cjui nilikula maharage yawapi cku ileNzuri Kabisa.. Bwn Majan Kwanza Kabisa kwanini ukajiita Majan
Hahaa sio Kwamba ulianza kupiga Majan na udogo?Haha ilo jina sijajipa mkuu nimepewa nawanafunzi wenzangu kipindi nipo Darasa lapili kuna siku nilishindwa kusoma Neno JAMAN minikawa nasoma MAJAN nilitudia karibu Mara 4 bado nilikua nasoma MAJAN cjui nilikula maharage yawapi cku ile
Hapana mkuuHahaa sio Kwamba ulianza kupiga Majan na udogo?
Unaishi wapi Bwana MajanHapana mkuu
Naishi umalila MbeyaUnaishi wapi Bwana Majan
unajishuhulisha nanini Bwana MajaniNaishi umalila Mbeya
Minimkulima waviazi ulayaunajishuhulisha nanini Bwana Majani
Viazi ulaya ndo viazi Gani Bwn MajanMinimkulima waviazi ulaya
Niviazi vyachipsi mkuuMinimkulima waviazi ulaya
Hahaa inaonekana wenimuhenga Sana Bwn Majan.. Unaumri ganiNiviazi vyachipsi mkuu
Swala la umri nitajibu siku Nyingine mkuuHahaa inaonekana wenimuhenga Sana Bwn Majan.. Unaumri gani
UmeoaSwala la umri nitajibu siku Nyingine mkuu
Ndio nimeoa nipo Namke wangu huku Umalila tunaendeleza kilimo cha fiasi ulayaUmeoa
Kasema yeye ni embryo bado.Una miaka mingapi?
Kasema yeye ni embryo bado.Una miaka mingapi?
Nimecheka ,,hahaaaaaaaa,,unavojiintaviewNapenda wanene wenye mahpis, weupe na waliojaliwa wowowo